Recent content by VERDAD

  1. VERDAD

    Maisha ya Marekani - Ukimya, Upweke, Magari n.k

    Kwenye part tamu sasa,nauli ya huko kiasi gani kutokea kwetu huku?
  2. VERDAD

    Waziri Mkuu wa Hungary: Vikwazo vya EU vimefeli kuiteteresha Urusi, vinaziteteresha nchi za EU na tayari serikali za nchi nne zimeanguka

    Kuna mjinga mmoja humu alikomaa Boris ametoka madarakani kwa ajili ya mambo ya kuvunja masharti ya uviko 19,waukraine wa kwa mtogole wana matatizo sana Mara ooh uchumi wa Russia haufikii jimbo la Washngton, sijui ni kilevi gani mnatumia pro-western
  3. VERDAD

    Waalimu na watumishi msipobadilika mtakufa masikini

    Tungeanza na wewe kuwa makini kidogo kuandika vyema maana haukukurupushwa, hivyo ni walimu si waliamu. Tatizo kuchukua nafasi zenu vijana ama wao kufa masikini? Inapokuja fursa ya kupata fedha hakuna kusema eti anao mshahara hvyo atumie muda uo kufanya mengine,huko ni kumpangia maana si walimu...
  4. VERDAD

    Kwani IMF imetoa trilioni 2.4 kwa Tanzania ?

    Lugha nzuri ni "IMF imeikopesha Tanzania .........." Tuanzie hapo, TUMEKOPESHWA TENA 2.4 trilion
  5. VERDAD

    UN: Mawimbi ya joto kali yataendelea kutokea hadi Mwaka 2060

    Safi saaaaana,wanakuwaga wabishi sana kujikita kwa dhati kupunguza uchafuzi
  6. VERDAD

    Rais wa Ukraine, Volodymir Zelenskiy awafukuza kazi watumishi 28 wa Shirika la Ujasusi

    Atafukuza mpaka mkewe maana mambo yameshakua hali jojo
  7. VERDAD

    Urusi waanza kutumia vifaru ya miaka ya 60s, wamepoteza idadi inayojumuisha mataifa kumi ya Afrika

    Source ya raia wa Ukraine kupigana upande wa Russia??? Usiame mada, swala Mrusi anatumia wafungwa, si Ukraine kafanyaje na wakina nani, yeye anaweza fanya lolote si kanchi kadogo, ila si ujinga wa kusema Russia anatumia wafungwa. Tusi lipo wapi ama ndio uzwazwa hujui hata maana ya tusi?
  8. VERDAD

    Urusi waanza kutumia vifaru ya miaka ya 60s, wamepoteza idadi inayojumuisha mataifa kumi ya Afrika

    Are you serious?yaani unafananisha shughuli za uzalishaji na vita? Unakula nini wewe mpaka unakua zwazwa hivyo? Sasa wawapeleke wafungwa ambao hawana training za vita, unampeleka mfungwa FOB anaanzaje kukaa kwa battle formation nd shape??? Ao reserve na wanajeshi wenyewe wanafanya nn?? Kwanza...
  9. VERDAD

    Pep Guardiola kweli ni mbaguzi wa rangi?

    Kumekuwa na shutuma nyingi sana zikimuhusisha kocha huyu bora kabisa kuwahi kotokea ulimwenguni na ubaguzi dhidi ya watu weusi na karibuni alihusishwa na Yaya Toure, je lina ukweli hili ama shida tu ya kisaikolojia ya sisi watu weusi?
  10. VERDAD

    Marekani yalalamika kuwa Iran yajiandaa kupeleka shehena za mamia ya drones zake hatari Urusi zikatumike vitani Ukraine

    Hapana hapo wanatest mitambo na pia ni biashara hiyo, watu wakiona inafanya kazi ndio inauzika vyema. Pitia vyema Civil war ya Hispania ilivyotumika na Hitler kujaribia ufanisi wa silaha zake.
  11. VERDAD

    Marekani inaionea wivu Urusi, Pamoja na vikwazo bado inapata pesa zaidi sasa kuliko hapo kabla. Sasa inawaza kuweka ukomo wa bei ya mafuta ya Urusi

    Siku zinavyoenda ndio nazidi kuelewa kwamba taifa la Marekani ni la ovyooo na lina watu wasio na haya hata kidogo
  12. VERDAD

    Urusi waanza kutumia vifaru ya miaka ya 60s, wamepoteza idadi inayojumuisha mataifa kumi ya Afrika

    Ingeandikwa kwa Kiswahili ungepost hii??? Ama kila cha kiingereza ni ukweli? Soma hapa kisha tafakari namna gani unafuta hii usidharirike https://worldpopulationreview.com/country-rankings/military-size-by-country Russia inajumla ya wanajeshi active 1,014,000, tuseme wamekufa 30,000, ndio...
  13. VERDAD

    Urusi waanza kutumia vifaru ya miaka ya 60s, wamepoteza idadi inayojumuisha mataifa kumi ya Afrika

    🤣🤣🤣 So vifaru vya zamani ila vizima unataka alimie?vile si vyombo vya kivita mzee ama vinaexpire date???
  14. VERDAD

    Urusi waanza kutumia vifaru ya miaka ya 60s, wamepoteza idadi inayojumuisha mataifa kumi ya Afrika

    Sasa we unajua lengo la yeye kutumia hivyo mkuu?is that a point unajengea hoja?kama kaishiwa si ungesikia wakuu wako wanashangwe now?we bhana endelea kujitekenya na kucheka mwenyewe.
  15. VERDAD

    Urusi waanza kutumia vifaru ya miaka ya 60s, wamepoteza idadi inayojumuisha mataifa kumi ya Afrika

    Kipindi huyu mnigga anaripoti pumba hizi, wakuu wa nchi za magharibi wanajiuzulu,wanalaumiana na kususiana huku wengine wakiwa na hofu ya kutolewa madarakani kwa kuisapoti Ukraine ili hali kwao hali mbaya. UBONGO WA MK254 NI AJABU LINGINE LA ULIMWENGU🙌🙌🙌
Back
Top Bottom