Hiyo shutuma ya Yaya Toure nikweli lakini pia hatuwezi kujua sababu nyingine iliyopo behind the sceneKumekuwa na shutuma nyingi sana zikimuhusisha kocha huyu bora kabisa kuwahi kotokea ulimwenguni na ubaguzi dhidi ya watu weusi na karibuni alihusishwa na Yaya Toure, je lina ukweli hili ama shida tu ya kisaikolojia ya sisi watu weusi???
Vipi kuhusu Samuel Etoo ulisikia?yaliyomkuta dhidi ya pep?50% ni kweli. Japo coacher bora na pendwa kwangu, pia yupo ktk chama language la ETIHAD.
Nimeweka 50%, au hujaona??Vipi kuhusu Samuel Etoo ulisikia?yaliyomkuta dhidi ya pep?
Siku ukikutana na ubaguzi utajuaKila mmoja atumie akipendacho pep hapendi watu weusi is fine, mourinho anawakubali watu weusi is fine tuache kujilalamimisha kama tumekubali kuweka vivutio vya biashara ya utumwa afrika wakati wazungu waliuzana miaka mingi lakini hakuna sehemu wameweja kumbukumbu hiyo
Mmh mbona Sterling amekaa pale miaka 7 Mzee na Guadiola amekaa nae kwa miaka 6 Kama mchezaji wake tegemeo?Ni kweli nasikia ana mpango wakuwaondoa wachezaji wenye asili ya Africa wote kiufupi Guardiola na wachezaji weusi hawaendani ukiangalia hii uza uza ya man city msimu huu mtu kama sterling gabriel jesus na wachezaji wengine alioamua kuwaweka sokoni unaona kabisa jamaa na rangi nyeusi hawaendani.
Tatizo sio wao kukubagua ni wewe jinsi unavyoresponse huo ubaguzi, ok by experience nimeshabaguliwa na wazungu hapa hapa na nimeshabaguliwa na ngozi nyeusi wenzangu hapa hata ndugu wananibagua mkuu jinsi utakavyo jibu ndivyo itaamua ikuumize au lahSiku ukikutana na ubaguzi utajua
Uafrika gani unaosema wewe? Kinachozungumzwa hapa ni watu weusi, Ferguson alikuwa na wachezaji wengi sana weusi.Mbona hamsemi ferguson hakuwahi kuwaamini wachezaji wa kiafrika!??