Recent content by vennyvencer

  1. vennyvencer

    Music production

    umefikia wap on music production? ,mimi ni mtumiaji wa fruity loops na kidogo ableton live ,,,tunaweza kubadilishana mawazo nichk kwa 0657650403 ..
  2. vennyvencer

    Between your legs!

    ironman between your legs
  3. vennyvencer

    msaada- multitouch drivers za laptop toshiba satelite c-850

    wakuu naombeni msaada natafuta drivers (synaptics) za laptop yangu aina ya toshiba satelite c-850
  4. vennyvencer

    Tecno Phantom ushauri tafadhali

    so hiyo phantom nayo ina features kama motion sensor ,double tap to top,smart alert ,smart stay ,tilt to zoom,pan to move icons ,na camera ina modes kama za s4 (eg eraser mode) n.k
  5. vennyvencer

    Tecno Phantom ushauri tafadhali

    yap ni kweli kufananisha hizo cm ni sawa na kufananisha usingizi na kifo
  6. vennyvencer

    Xbox 360 for sale, Tsh 250,000

    upo wapi? iko kwenye condition gani?
  7. vennyvencer

    Bongo fleva beat - FL STUDIO

    Kijana hongera sana big up!!!! Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  8. vennyvencer

    Msaada kwa gamers

    game za nn playstation (psp),PC,phone?
  9. vennyvencer

    Matatizo ya sim.smart phone's

    nina galaxy pocket huwa ina tatizo la ku force close na kuandika "ONKEY 7S RESET" au saa nyingine huandika "USER FAULT NOT KERNEL PANIC UPLOAD MODE" na screen yote huwa black na kuwa na android logo
  10. vennyvencer

    Matatizo ya sim.smart phone's

    the same to me simuelewi
  11. vennyvencer

    Msaada: Airtel internet inazingua baada ya kutumia kama nusu saa

    nasukia zantel inakula sana MB issue nu voda ss
  12. vennyvencer

    Msaada: Airtel internet inazingua baada ya kutumia kama nusu saa

    ni kweli airtel huwa wana huo mtindo limitless yao ni kero tu au kuna mwenye altenative ? :D
  13. vennyvencer

    Ni apps gani za android & iphone unazotumia au kujua

    Kwa kwel hill climb racing ni game lenye physics nzur android users you cant miss this nimeshali commplete
  14. vennyvencer

    Ni apps gani za android & iphone unazotumia au kujua

    Hiyo kitu ni upo kama upo highway kuelekea kwenye destination flani na zombies wanadandia gari lako ili waliangushe sasa ww unatakiwa u get rid of them kwa kuwabamiza kwenye magari mengine njiani au kwa kutumia ammo/silaha ulizonazo na utawa shoot kwa kutumia red spots ambazo zipo pembeni ya...
  15. vennyvencer

    Ni apps gani za android & iphone unazotumia au kujua

    yap zombie highway ni free app ipo google play /playstore na ni ya ukwel kwa wapenda ma game
Back
Top Bottom