Msaada: Airtel internet inazingua baada ya kutumia kama nusu saa

muudy

Senior Member
Joined
May 25, 2013
Posts
156
Reaction score
22
waungwana hebu nielewesheni mbona nikitumia internet katika line ya airtec baada ya nusu saa au saa moja alaf haikubali tena wakati network ipo ok
 
ni wakat gan huwa inafanya ivyo?
 
waungwana hebu nielewesheni mbona nikitumia internet katika line ya airtec baada ya nusu saa au saa moja alaf haikubali tena wakati network ipo ok

hasa ni wakat gan huwa inafanya ivyo?
 
Airtel nahisi wanazingua maana ukiunga kifurushi cha buku kumi "time based" unlimited kwa wiki, wanakupa speed kubwa kwa mb chache sana kisha wanashusha speed hadi chini ya 5kbps. Hata browser yenyewe kustart ni more than 5minutes. Waliniboa sana
 
ni kweli airtel huwa wana huo mtindo limitless yao ni kero tu au kuna mwenye altenative ? 😀
 
waungwana hebu nielewesheni mbona nikitumia internet katika line ya airtec baada ya nusu saa au saa moja alaf haikubali tena wakati network ipo ok

Mimi imenizingua sana mpaka nimetupa huko nikanunua zantel, full kusurf!
 
unajua mapunda b mda wowote nikifanya huwaga kazi ndiyo hiyo hiy mpaka nashindwa kuelewa kabisa
 
Airtel wahuni sana Mimi nimeamua kutupa line Yao

Nikijiunga na vifurushi vyao natumia kidogo inakata kwenye net.
Nimerudi voda hakuna ubabaishsji, 3500 mb 420 na Dakika za kumwaga wiki nzima.!!
 
Back
Top Bottom