Matatizo ya sim.smart phone's

costerntine

Senior Member
May 5, 2013
172
27
Kwa wale Wentworth Sinatra phone's zain android zenye matatizo ya memory ya RAM Kuwait Ndogo nakushindwa kuweka allocations kubwa Dawson no Mkude root cm ili apps ziamie kwenye SD card ya cm yako 0713309529
 
Mkuu samahi kidogo smartphone yangu ni
samsung galaxy gt-s6102 imekuwa na tatizo
la kuzima yenyewe hasa shida ilitokewa
siku moja nilidownload ant virus inaitwa
dr baada ya hapo ikawa inazima zima.
 
Ok ina wezekana ikawa cm Yakima haikuwa compatible NA cm Yakima vilele cm NASDAQ ya kuiwekea antvrus Ndogo Himed haribu cm yako-Recovery signature ya cm yako Nipostie specifications za hiyo cm yako Hapa mkuu
 
Inatakiwa kuifanyia reboot upya ilikutatua tatizo kufanya hivyo no mlongo mlefu so unaweza kupiga cm nikuelekeze kama utaweza kufanya mwenyewe
 
Ok ina wezekana ikawa cm Yakima haikuwa compatible NA cm Yakima vilele cm NASDAQ ya kuiwekea antvrus Ndogo Himed haribu cm yako-Recovery signature ya cm yako Nipostie specifications za hiyo cm yako Hapa mkuu

Asee nadhan tutumie lugha ambayo ni rahis na sisi wengne tuelewe!! Sasa recovery signature unamaanisha sahihi ya simu!!!
 
nina galaxy pocket huwa ina tatizo la ku force close na kuandika "ONKEY 7S RESET" au saa nyingine huandika "USER FAULT NOT KERNEL PANIC UPLOAD MODE" na screen yote huwa black na kuwa na android logo
 
No amina ya firmware katika similar ambayo ina ifanya cm ijitambue inachokifanya so no technical data zain madevelopa NA watengenezaji WA computer NA nk.wakuu
 
Ni system ya sim ambayo inaifanya sim/ijitambue inafanya nini so iki athirika ndo matatizo kama hayo yanatokea
 
Sim yako inatakiwa uwe unaitumia bila kuwa na halaka ili fungue app talatibu au kama iko slow sana angalia memory ya RAM kama ipo ya kutosha.kufanya hivyo ingia sehem ya setings 2.manage app.kwa chini ya disply kulia utaona imebaki memory kias gan.inatakiwa ibaki mb 40./na ibaki gb 1 kwa zile zenye gb3 bultin memory-au jaribu kuzipunguza apps ambazo nikubwa kama whatsup au nyingine ambazo hazina ulazima
 
Ok ina wezekana ikawa cm Yakima haikuwa compatible NA cm Yakima vilele cm NASDAQ ya kuiwekea antvrus Ndogo Himed haribu cm yako-Recovery signature ya cm yako Nipostie specifications za hiyo cm yako Hapa mkuu
Kwa wale Wentworth Sinatra phone's zain android zenye matatizo ya memory ya RAM Kuwait Ndogo nakushindwa kuweka allocations kubwa Dawson no Mkude root cm ili apps ziamie kwenye SD card ya cm yako 0713309529
No amina ya firmware katika similar ambayo ina ifanya cm ijitambue inachokifanya so no technical data zain madevelopa NA watengenezaji WA computer NA nk.wakuu
uncle vipi tena hii thread yako ni kigugumizi au? inaonekana kuna kitu muhimu unataka kushare ila maelezo hayaeleweki, andika kwa kingereza au kiswahili fasihi watu waelewe..
 
Costerntine natumia galaxy young GT-5360 inbuilt memory ni ndogo nataka nihamishie apps zote kwenye SD Card inakuwaje hapa..
NB: wakat wa kudownload nyingne ziliingia kwenye SD nyingne kwenye cm halaf updates zinagoma kisa space ndogo kwenye cm ila SD bado space kubwa
 
Inabid uifanyie rooting cm yako nakufanya hivyo unaweza ku google jinsi yakufanya hivyo.maana ndokazi ninayo ifanya so nikazi ngumu kido maana ina hitaji software kwenye computer na ucheze na command katika computer ila una weza kunipigia cm nikufahamishe 0713309529
 
Mkuu thread yako ni nzuri ila mpaka sasa
wengine hatujaambulia chochote
Jaribu angalau kufafanua kiasi hasa km
wengi walivyoomba.
 
Inabid uifanyie rooting cm yako nakufanya hivyo unaweza ku google jinsi yakufanya hivyo.maana ndokazi ninayo ifanya so nikazi ngumu kido maana ina hitaji software kwenye computer na ucheze na command katika computer ila una weza kunipigia cm nikufahamishe 0713309529

Asante sana ila hzo process mayb tutawasiliana nimechoka kbla ya kuanza
 
Back
Top Bottom