Recent content by VeniGan

  1. VeniGan

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa cold play

    From "You might be a big fish in a little pond" to "Viva la vida" Coldplay rocks.. One of my 2011 best alternative rock band na album yao ya Myolo Xyloto.. Every teardrop is a waterfall, Paradise siishi kuziskiliza yani.. Usisahau Ghost Stories nina full album - digital download..
  2. VeniGan

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Rock music!

    I hope I'm not late kwa hii thread, I'm a Rock addict since nipo kid those days za akina Bruce Springsteen, AC/DC, Rollingstone it was awesome.. The biggest chance niliyopata kusikiliza rock to the fullest ni nikiwa advance level thru Xfm ya Kenya.. Nina a lot of digital downloads from Avenged...
  3. VeniGan

    JamiiForums Tanzania Usafiri enzi zile Mwanza yetu

    Ngollo express bado zipo, route ya Mwaloni - Kishiri/Machinjioni
  4. VeniGan

    JamiiForums Tanzania Msaada wako una hitajika

    jaribu pia thunderbird iko poa
  5. VeniGan

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la watumiaji wa Blackberry..share tips and tricks

    kuna yoyote ambaye amesha-upgrade bbOS 5 to 6 kwenywe bold 9700 anisaidie natakiwa kuwa na free space kiasi gani na ni mda gani depends with my internet connection naweza nkaifanya hiyo kitu?
  6. VeniGan

    JamiiForums Tanzania msaada blackberry bold 9700

    I have BB Bold 9700 nko na shida kama ya kwako ndugu, hawa jamaa ni wavivu sana hata kuweka app ya adobe wameshindwa kabisa japokua ni the 3rd largest OS ila wako poor sana, utaona themes kibao kwenye App world yao ila kwa apps za kama PDF readers hawana, labda kama uki-upgrade kwenda OS 6...
  7. VeniGan

    JamiiForums Tanzania Blackberry original

    Fungua option alafu angalia About itaona wameweka kila kitu hapo
  8. VeniGan

    JamiiForums Tanzania Ipi inapendeza?

    Ya hapo juu
  9. VeniGan

    JamiiForums Tanzania Iphone users

    Mmetusahau na sisi wenye Blackberry jamani. Tukumbukane hata kwa maujanja ya aina yoyote na siyo kwa wenye iPhone tu wanajamii
  10. VeniGan

    JamiiForums Tanzania Windows` SkyDrive v/s Google`s Google Docs

    W
  11. VeniGan

    JamiiForums Tanzania MSAADA: BLACKBERRY VS.ipHONE VS. HTC

    Blackberry 9780/9700 wala hata wasikuangaishe na hizo hapo juu. Battery backup ipo juu (1500mAh) ni ya uhakika sana na wala hautakuwa na haja ya kuzima internet kama wenye iPhone na Android wanavyofanya kuzima internet ili wapate battery ikae kwa muda mrefu.
  12. VeniGan

    JamiiForums Tanzania Uliza / sema chochote kuhusu Nokia(symbian s60 v5)

    I`ve experienced nokia n70 na SE P1i yani they are too expensive ila kiukweli hamna hata kitu cha maana zinakuwa nacho zaidi ya ushamba wa kizamani kuona kama vile a mobile phone is working kama a laptop. Sasa naona hata kwa Nokia wenyewe wameamua kuachana na huu ugonjwa unaitwa Symbian wakaenda...
  13. VeniGan

    JamiiForums Tanzania The Nokia iPhone 5 Killer Phone Has Arrived!

    bei yake inaanzia $600 kwaUS so mpaka ikifika Bongo itakua MILIONI 2.. what the hell is Nokia by now? I love Android and Blackberry OS ni the best
  14. VeniGan

    JamiiForums Tanzania Nokia WP7 "Leaks"!!!!

    Poor nokia hata hana tena fans.. Android by Google is the killer of Nokia Ovi and Blackberry na sasa anaua iPhone
Back
Top Bottom