msaada blackberry bold 9700

msaada blackberry bold 9700

erickmalz

Senior Member
Joined
May 27, 2011
Posts
145
Reaction score
11
khabari za sasa wataalam,nimeteseka sana kutafuta application za hii simu,adobe readr imeexpire vitu kibao vya kununua. Naomben mswada wa web nnazoweza download free applications please
 
why dont try to google 'free blackberry apps'?
 
Kugoogle bado inaleta msaada mdogo sana katika hili.....unaweza ukataka kudownload let's say labda adoble reader from may be web utakayo ipata kwa google..ile una click downloading button inafunguka bb application word ambayo bila pesa upati kitu
 
<br />
<br />
Bora umeliona hlo
 
I have BB Bold 9700 nko na shida kama ya kwako ndugu, hawa jamaa ni wavivu sana hata kuweka app ya adobe wameshindwa kabisa japokua ni the 3rd largest OS ila wako poor sana, utaona themes kibao kwenye App world yao ila kwa apps za kama PDF readers hawana, labda kama uki-upgrade kwenda OS 6 unaweza ukakuta inakuja na PDF reader. Hawa jamaa pia hawana apps za maana kabisa kama Android na iPhone. Me ntakaa kwa mda alafu nirudi Android tena caz BB ni shda tupu. Unaweza ukadownload app from other websites na zisifanye kazi na BIS ikawa unaliwa hela yako kidogo kidogo mpaka unakasirika. Angalia google wana free apps for BB OS ila hata si nyingi sana.
 
Kaka maelezo yako sio sahihi BB OS ina adobe reader ya bure tena ni official. Iangalie kwenye Blackberry App World
 
Nenda kwenye official Blackberry website katika sehemu ya Blackberry software, jaribu kudownload na ku-install Blackberry App World. Ukifanikiwa BB App World ina apps zaidi ya 20,000 (ni chache mno ukilinganisha na iOS yenye apps 425,000 na Andriod apps 300,000) lakini ninakuhakikishia kwamba Adobe reader ipo tena ni bure, tena ni official. Ila tatizo linaweza kuwa Blackberry yako ni ya zamani hivyo inaweza kutokukubali kui-install App World, nadhani pia huwezi kuinstall BB OS 6, hata hivyo hakuna mbaya kujaribu

Utahitaji kuwa na Blackberry ID ambayo ni bure kujisajili. fuata link hii:
BlackBerry - App World - Official Store for BlackBerry Apps au BlackBerry - App World - Official Store for BlackBerry Apps
 
Kaka maelezo yako sio sahihi BB OS ina adobe reader ya bure tena ni official. Iangalie kwenye Blackberry App World
Adobe reader haiko compatible na Bold 9700
 
naona bora ninunua Nokia (symbian v5)
Out of the frying pan into the fire! Unataka uhamie sytem ambayo Nokia wenyewe wameitupa? Nunua simu ya Android OS kuanzia Android 2.2 kwenda juu Huawei Ideos, ZTE Blade, Samsung Galaxy ziko kibao.
 
khabari za sasa wataalam,nimeteseka sana kutafuta application za hii simu,adobe readr imeexpire vitu kibao vya kununua. Naomben mswada wa web nnazoweza download free applications please
pole sana mkuu kwa kutumia BlackBerry, Install hii 'Repligo' reader itakusaidia kufungua Documents.. nimeAttatch na KeyGen kwaajili ya kuGenerate licence keys kupitia BB Pin yako ili ufanye Registration ya hiyo application..

Iphone User'..
 
Attachments

Back
Top Bottom