i411
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 906
- 290
hiyo ndoa ya microsoft na nokia nadhani watapeana talaka mapema hata kabda biashara haijachanaganya. competition ipo tight sasa hivi na apple wanarelease iphone5 hiyo wataalamu wanatabiri itavunja marecord kibao manake wanampango kuzitoa hizo iphone5 kwa masoko mengi. kama us walikuwa wamelock kwa mtandao mmoja juzi juzi wakaongeza mwingine na sasa wanauza unloked huko US, na zani apple wanampango hata wa kuzifanya ziwe raisi mpaka huku kwetu