masatu na kizota sikuwashuhudia kuwaona live ila nilikua nasikia tambwe zao kupitia matangazo ya moja kw moja kwa njia ya redio ya mzee wangu. wapi jamani mtangazaji aliyekua na mbwembwe ezekiel marongo!!!
mkuu umeskia majibu ya mtoa elimu bure. Huyo binti kaibua moja kati ya maswali magumu ambayo mkuu wa nchi kajibu kwa jazba na amekosa point 3 muhimu. Na huo ndo mtaji w ccm kuona watu wa nchi hii wanapata elimu duni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.