Recent content by vee2

  1. V

    JamiiForums Tanzania Wanaume shtukeni jamani, mwanaume halii

    Rudia tena utafiti wako uje na valid data
  2. V

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumtafutia shemeji kazi

    Acha wendawazimu wewe, mpe shemeji kazi achana na mchepuko hautakusaidia kitu
  3. V

    JamiiForums Tanzania Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

    Bei ni kiasi gani?
  4. V

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuacha kujichua leo nina siku ya 5, dua zenu ni muhimu

    Ha ha! Hongera sana mkuu kwa kufanya maamuzi magumu, mana kama umezoea hiyo kitu kuacha ni ngumu lakini kama umeweza kufikia maamuzi hayo Mungu akusaidie usirudie mawazo ya nyeto
  5. V

    JamiiForums Tanzania Inauma sana kumpenda mtu asiyekupenda

    Kiukweli hiyo hali inauma sana ila mtu unatakiwa kujiamini na kujiona kua unathamani na unaweza kumpata mtu mwingine zaidi yake. Achana nae na uendelee na maisha
  6. V

    JamiiForums Tanzania Wanaume hili huwa mnalichukuliaje?

    Hiyo mimi nikigundua tu, safari inaishia hapo. Kawaida ya hao waliwa tigo akikuona hupendi huo mchezo atafake kwako na kutafuta wa nje ili amle tigo
  7. V

    JamiiForums Tanzania Facebook ilinikutanisha na mke wa mtu, sasa najuta

    Wewe tulia tu uvune ulichokipanda, hakuna ushauri mwingine zaidi ya huo.
  8. V

    JamiiForums Tanzania Mimba ya mchepuko inanitesa

    Ndio faida za kupenda michepuko, ungetulia hayo yote yasingekukuta na sio kumsingizia shetani.
  9. V

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ananitosa kila anapopata kazi

    Pole sana kaka. Ila ukweli ni kwamba huyo mwanamke hakufai, tafuta mtu atakayekufanya uwe na furaha sio kukupa presha kama huyo uliyenae.
  10. V

    JamiiForums Tanzania Inatakiwa mzidiane miaka mingapi kuona?

    Umri haujalishi, hizo ni imani tu watu wamejiwekea, cha msingi ni kupendana tu
  11. V

    JamiiForums Tanzania Msichana anajeuri, anajisikia, nashindwa kufanya maamuzi

    Mkui mabinti wengi wakichaga ndo wako hivyo, utaumia bure mwenzio hana habari
Back
Top Bottom