lauzi96
JF-Expert Member
- Jul 10, 2014
- 422
- 797
Yaani kwa mara kwanza nimefanikiwa kukaa siku 5 mfululizo bila kupiga nyeto nimeanza zaidi ya miaka 10 ilifika kipindi nnapga hadi 5 kwa siku sasa hivi nimeamua kuacha yaani leo siku ya 5 ninaona kama miaka 8 ninatarajia mpaka ikifika mwezi ujao niwe nimesharudisha kadi ya uwanachama ya CHAWAPUTA .