Mwanamke ananitosa kila anapopata kazi

Mwanamke ananitosa kila anapopata kazi

Hahahha mkuu sio kwa ubaya, maana naona jibu la ushauri wangu upo wazi sana,maana jibu lingekuwa huyo demu hakufai,ila nimependa shughulisha akili yako kwa kunishauri ndipo ungepata jibu sahihi sana, hata hivyo kuleta mada jf tayari unajibu sema limbwata mtoto kalikologa haswa, maana its obvious huyo mwanamke hawezi kuwa sahihi kwa maisha yako,hata kama mkifunga ndoa hamfiki mahala popote maana demu tamaa mbele
Nmekupata Mkuu...itabd nifanye maamuzi
 
hilo jina la Mr. MTUI halikufai.. unafaa kuitwa Mrs. MTUI
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
maana unatuaibisha sisi wanaume wenzio.. watu kama nyie ndo mnapelekea sisi wanaume kadri siku zinavyozidi kwenda tuzidi kudharauliwa. FUNGUKA AKILI WEWE
 
Huyo ndio mzuri sasa... Me napenda sana kumpata demu wa hivyo. Huna haja ya kumpiga kibuti but unamuwekea mazingira anajipiga kibuti mwenyewe. Kwakuwa sasahivi anajileta wewe mpe ushirikiano tu na hakikisha unajitahidi hadi anakupa mzigo. Wakati wa ile shughuli sasa ikishakolea (umbane ki sawasawa) jifanye umekosea uingie kwenye mlango wa dharura (0713). Baada ya hapo atakuheshimu na atachagua either kuendelea na wewe kwa heshima zote au kukukimbia jumla
 
Mkuu Huyo atakua mtu mizinga mpotezee hakuna dem hapo kimeo hicho
 
yaani suala hilo ni la kuomba ushauri? shtuka ndugu huyo hana mapenzi na wewe
 
we umezaliwa nae huyo pimbi???
Fukuza, yani tena una akili zako timamu mpk kufikia kuweka bandiko humu...Unashindwa kugundua trick ndogo tu kuwa huyo demu ni mnonyaji? Piga chini na tena ka file kesi kabisa mahakamani ili akikupigia tena awe hatiani
 
Nadhan kaa nae chin ongea nae kwa kiref like matured people mtafikia consensus.
 
Huyo endelea naye hivyohivyo mnawezana wenyewe maana huyo kwangu hana nafasi toke dey wani
 
hilo jina la Mr. MTUI halikufai.. unafaa kuitwa Mrs. MTUI
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
maana unatuaibisha sisi wanaume wenzio.. watu kama nyie ndo mnapelekea sisi wanaume kadri siku zinavyozidi kwenda tuzidi kudharauliwa. FUNGUKA AKILI WEWE
Nakusamehe bure
 
Hakai Sinza kweli huyo? Hajahitimu IFM kweli huyo? Kuachana nae au kuendelea nae ni maamuzi yako. Chagua kwa uyakinifu zaidi
 
Pole sana kaka. Ila ukweli ni kwamba huyo mwanamke hakufai, tafuta mtu atakayekufanya uwe na furaha sio kukupa presha kama huyo uliyenae.
 
Habarini....
Hivi mwanamke anapokutosa kila apatapo kazi na kurudiana na ww kila anapopigwa chini maana yake ni nini?

Kwa ufupi mm nilianza mahusiano ya karibu na dada mmoja tangu tupo chuoni....ingawa mapenzi yalianza kwa magumashi lakini maisha yalienda....yalianza kwa magumashi coz demu huyu alikua ngumu sana kunipa gemu....kwani nakumbuka nilishaenda naye lodge mara kadhaa na kuambulia patupu....
mahusiano ya chuo yaliendelea but niliambulia vichache kama vile kisi na denda.
.Msingi wa tatzo lililofanya niandike uzi huu ni kwamba mara baada ya demu kumaliza chuo alibahatika kupata kazi benki Fulani...hapo ndipo nilipoanza kuyaona rasmi makucha yake kwani mawasiliano yalikufa huku nayaona... Sikupata tena nafasi ya kukisi ata hug kwa kisingizio kwamba mtu yupo busy na kazi....so tukaachana

Nashukuru mungu namm nilipata kazi kwenye kampuni moja na kwa upande Fulani nikanza msaau taratibu..
.
Baada ya kama miez kadhaa mkataba wa kazi wa yule demu ukasitishwa.....
Taratbu msg za GOOD NIGHT na kazi njema zikaanza kujiri kwenye simu yangu....hali hyo iliendelea mpaka nikajikuta nnerudiana naye.....

Mapenzi yakaendeleea kwa muda mfupi mpaka demu alipopata tena kazi kwenye Shirika moja hv....vituko vikaanza tena nakupelekea kuachana naye kwa mara ingine.....na mm mungu si athumani akasaidia nikapata kazi ingine kwenye Shirika Fulani ...sasa hv huyu demu ameanza kunitafuta tena coz kunamatatzo kazini kwani kutokana na mambo ya anko Magufuli kunamambo yanaiendea mrama kampuni yao na kunawasiwasi watapunguza wafanyakazi...

SASA nmekaa nikafikiria inakuaje huyu demu mm nnamfaa vipindi fulani Fulani tu..
.Kwakuwa tatzo lake lipo ndani ya uwezo wangu..Naombeni ushauri nimsaidie au nimwache ili awe na adabu...
majitu mengine bhana hayana maana kabisa hivi ni kwa namna gani unakuwa mtu kama njiti una mawazo ya hovyo kabisa wewe umeshafaham tabia ya mwanamke huyo afu bado unatuletea ujinga wako hapa ghaaa nenda zako huko.
 
Back
Top Bottom