mzama chumvini
JF-Expert Member
- Mar 14, 2016
- 730
- 641
Sabakher wadau,
Kuna mdada alikuwa anafanya usafi kazini kwetu sasa kwa bahati mbaya nikapitiwa na shetani nikamla. Akapata mimba ina miezi miwili sasa tangu wiki ya jana! Ananisumbua sana kwa kusingizia mimba.
Jumatatu nimeenda kumuona akaniambia x mtoto anataka umuimbie Dah!Basi kidume nikabana pua moja nikaimba bado ya Harmonize nikauchuna.
Sasa ya leo ndo mataka kanitext eti mimba inataka simu yenye whatsapp, Duh! Nikaona huu ujinga nikamjibu kama vipi nihamishie mimba yangu. Naona majukumu yamekua mengi.
Eti wadau nimekosea?