Recent content by Vedakaka

  1. V

    Kumbukizi: Wazanzibar walivyoandamana kudai Muungano uvunjwe

    Sasa utaonekanaje kama unataka link utakuwa muongo mubobezi
  2. V

    Humphrey Polepole: Rostam ni mfadhili mkuu wa wanamtandao, alipora 'Channel Ten', kauziwa kihuni mgodi wa Makaa ya Mawe na Serikali

    Vita ya Tanzania ni maneno na kubanwa kisheria ukiogopa kuutumia kalamu Yako maana yake wewe ni coward Lissu na wengine nje tu ya kuwa wansiasa ni watu waoambanajibkuona mambo yapo sawa au yaelekee kuwa sawa. Uvunjifu wa haki za binadamu mfumo mbovu wa huduma za jamii, mrundikano wa Kodi, yote...
  3. V

    Nikiwa kwenye maandalizi ya tendo, manii zinatoka na hamu ya kuendelea na tendo inakata kabisa

    Ni jambo la kawaida ila linahuddiana na saikolojia na hofu juu ya jambo hilo pendelea vyakula vya asili kama mihogo maziwa magimbi ugali wa Dona na kufanya mazeozi ya kukata tumbo na kuimarisha misuli kama una usafiri punguza kuutumia na tembea kwa miguu
  4. V

    Ni nini Chanzo cha jina Tanganyika?

    Tanga + Nyika, Maana yake kwanza kabisa ni viumbe aina ya samaki wanaopatikana katika ziwa Tanganyika hivyo Tanga ni samaki pia na Nyika ni samaki ila wana sifa ya kipekee na hawapikiki bila maagano kati ya hao mmoja anao umeme kama ulinzi wake na mwingine anayo nguvu ya ushambuliaji wa...
  5. V

    GE2025 Sielewi watu wanaoshangalia na kusheherekea kukatwa kwa majina ya baadhi ya wagombea ubunge wa CCM wakati huu

    Yawezekana ikawa aina ya nguvu/energy kwani kuna kinetic energy na potential energy Kwa hiyo potential ipo nyeti sana haswa kwenye mambo ya mmeng'enyo wa chakula (huenda kisiasa ikawa zaidi ya hilo)
  6. V

    Natafuta mke wa kumuoa, niko serious

    Anahitaji misaada jamani msaidieni apate chombo kwa ndoa
  7. V

    Tundu Lissu akiwa Mahakamani: Jamani huko Uraiani kukoje?

    Amekuwa kama Nelson Mandela akitoka tu anachukua nchi
  8. V

    Kauli za Rais Samia zilizokosa uzalendo

    Yawezekana alikuwa anaimba taarabu maana kila mtu akisimama mbele yake anapaswa mfano Heshima , Luhaga Mpina na wengine wengi
  9. V

    Nimegombana na wife, nikazira kula chakula,na yeye wala hajajisumbua kunibembeleza,hapa nilipo nasikia ubao sio wa nchi hii

    Kaka kugombana na mke ni jambo la kawaida tu, watu wanagombana halafu na usiku wanatendewa na haki ya ndoa na asubuhi ugomvi unaendelea kama kawaida. kwa hiyo kila na uone na umpe hajachukua ndiyo maana alienda bafuni akaiga na yawezekana amelala kama siku zingine tu ndiyo uangalie hapo
  10. V

    Waganga wa kienyeji wanawafaidi sana wanawake

    Jamani yeye ameshasema jamaa ni tapeli kwa hayo ni sawa. Ila uganga ni zaidi ya mchungaji kwa masharti yake siyo kupalamia tu maana ni kazi ya kujitenga na mabaya na kumbuka wanaowindwa na wabaya wao pia ulinzi wa kiroho kwao ndio jicho la kwanza ndio mengine yafuate.
  11. V

    DOKEZO Wahasibu wa Hospitali ya Mloganzila wana michezo ya kubambikia wagonjwa gharama ambazo hujazitumia kutokana na michezo ya rushwa

    Bima zenyewe wanazikataa wanasema mtandao hamnana wizi saizi ni hospitali zote mpaka Vituo vya Afya
  12. V

    Vyeo vya Usalama wa Taifa (TISS) – Kuanzia cha chini hadi cha juu

    Napenda kuuliza pia kamaTISS wanashughulikia kiuchumi vipi kuhusu misitu yetu ipo salama?
Back
Top Bottom