we ni mbaguzi na mnyanyasaji wa kijinsia unawezaje kumsema au kumchukia mtu kwa jambo ambalo mungu kamtunukia ambalo yeye hawezi kujibadili kama hicho kifua kikubwa au kuota ndevu ungejisikia vp dada yako au mwanao angesemwa hivyo
Wacha utani , sasa matokeo ya uchaguzi wa serikali za wanafunzi na kugombea uraisi kwa mheshimiwa lowasa kunampa pigo kivipi sababu si serikali za wanafunzi ndo zinachagua raisi bali wananchi, píli kipindi chã uchaguzi wanafunzi wote wanakuwa majumbani sasa hata kama unakundi lako si kitu rahisi...
Yan vijana wa siku hizi tunafanya akili zetu zione tendo la kumfikisha mwanamke ni gumu kama ufaulu wa NÊCTA , tuache ujinga huu hivi ni vitu rahisi Sana ni kama kuvisha Pete kidoleni kikubwa ni nyie wote wawili kiakili na kimwili kufurahia tendo lenyewe basi nyote kwa pamoja mtafika kileleni...
Wananchi kuuwa wanajeshi 200 wa boko haram sio kweli ila wameua watu 200 ambao ni wanahisiwa Kuwa mashabiki au ukaribu na boko.
Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
Tulimpigia kura nyingi ili tuzo ziende kwake kufanya wasanii wengine waone kumbe yawezekana kufanya mziki bila promo ya mawingu na kupata tuzo lakini yeye kama msanii tuliempigania kwa kura alitundondosha kwa kuto kuja píli na maneno anayotoa katika mitandao ya kijamii hata shukrani kwa wapiga...
Wafuasi wa Dini zote mbili wanakashifiana au kutofautiana , hata humu jamii fórum kuna member mmoja anapenda Sana kuleta post za kukashfu uislam mi binafsi naona kuna thread nyingi humu za kukashifu uislam kuliko ukristo .ushauri wangu mods naona ufike mda sasa wa Kuwa mna edit thread ya mtu...
Kwenye list ya mleta mada kumsahau zitto kabwe hapo ni bifu lisilo na tija kabisa pamoja na matatizo yote anayopitia bado ni mbunge bora kabisa tanzania Katika kizazi hiki na ndo mbunge aliétufanya vijana tufatilie bunge na tuingie kwenye siasa mi naona japo hupendi ila ungemweka tu kwa list...
Hii kauli ya kiongozi mkubwa kama yeye anaposema hivyo kwa wasomi kama sisi anatupa wasiwasi sana kuhusu uwezo wake wa kufikiri na kiutendaji , pengine hajui kuwa katika kuandika katiba lazima jamii nzima kukubaliana kwa yale yaliyomo ndani ya katiba , sasa anaposema UKAWA wasirudi mana yake...
Hiiii habari haiwezi kuwa Kweli unaposema wanajeshi 50 kuvamia kambi ya FFU si kitu cha kawaida ingekuwa big news leo .
Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
Hamad seif kwanza kistarabu alitakiwa kumuomba msamaha jumbe na kisha kükubali kuwa kipind kile mawazo ya jumbe hakuyaelewa kwa kuwa alikuwa bado na mawazo madogo ya kisiasa na utawala na sasa ameshakuwa na kuelewa jumbe alikuwa anazungumzia kitu gani kipind kile na sasa yuko tayari kukipigania...
Asilimia kubwa ya bajeti ya UN huchangiwa na serikali ya marekani , Pia marekani ndio nchi inayofanya UN kuwa hai mpaka leo na kumbuka pia kama mwanahistoria mzuri UN ni zao la wazo la marekan baada ya wwii hivyo basi UN lazima iendelee kuwa marekani ili iendeleee kulindwa pia kusaidia marekani...
Weee tayari hutaki wake wawili then wataka ushauri wabongo bana ndo mana hatupati katiba ya wananchi .... Samahan lakin ;
Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.