Recent content by VanmesRonaldoFegie

  1. V

    JamiiForums Tanzania Jamani msaada wa ushauri,nimelala na mme wa dada yangu

    Kwani umepigwa picha potezea Sent using Jamii Forums mobile app
  2. V

    JamiiForums Tanzania Toyota harrier G240 my dream Gar

    Baba kama unachukua Hilo Gari ni zuri sana Aiseeee
  3. V

    JamiiForums Tanzania Hii Fastjet bora ife tu

    Ndege ina utaratibu wake, kaka usimlalamikie reporting time umeambiaje
  4. V

    JamiiForums Tanzania Bashiru Vs Membe: CCM yatoa msimamo wake kuhusu suala hilo

    Nimeelewa
  5. V

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kudukua/ ku-hack simu za wenza wetu tukutane hapa kueleza athari tulizozipata baada ya kujifanya wajanja!

    Watu siku hizi tunadukua magari yetu yanafanyeje Kazi, ofisini wanafanya je Kazi, Boda boda ipo town au imepaki, wew bado unadukua mapenz
  6. V

    JamiiForums Tanzania Ni njia ipi sahihi kuhifadhi vyeti vya shule na chuo?

    Tunza bank, tunza mahakamani Nawakilisha
  7. V

    JamiiForums Tanzania Siku ulipoachana na mpenzi wako ulimwambia neno gani?

    Mim nakumbuka nishasahau tender opening day, kisa mapenz na Ile tender ilikuwa ya mamilion ya pesa kwenye NGOs moja na tender nilishinda ila kwa sababu sikuwepo project akapewa mshindi wa pili toka hapo I hate 2rue love, mwanamke ambaye Hana akili ya kusoma nyakati Mola anipe wepesi wa kumsahau...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Siku ulipoachana na mpenzi wako ulimwambia neno gani?

    Aiseeee Kuna kipindi mwanamke Ana kera kuzidi kipimo na ukimpa mda wa kujadiliana mnarudia mlemle na ukiangalia Kazi za mhimu zinakusubiri ili uingize chapaaaa nini kipi bora
  9. V

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu, mimba ya mke wangu inatuvuruga

    Potezea na wew kuwa jeuri, Africa tumeumbwa kibabe hatujaumbwa kukacare, mpe mabanzi uone harudiii Tena.
  10. V

    JamiiForums Tanzania Need a husband material

    MI ninazo Sema ni muislam kwa hapo tumepishana
  11. V

    JamiiForums Tanzania Nimefikia muda wa kuoa, nakosa mke mwenye sifa zifuatazo

    Utakuwa ulizama Mv bukoba ukaokolewa
  12. V

    JamiiForums Tanzania Siku ulipoachana na mpenzi wako ulimwambia neno gani?

    Mim sijawahi kumwambia maneno machafu mwanamke, huwa naamka kupotezea na kuacha kupokea simu na sms sizijibu Basi maisha yanaendelea.
Back
Top Bottom