Recent content by VANDAH

  1. V

    JamiiForums Tanzania Kigamboni bridge

    Kwani toka sept 2012 hakuna ujenzi ulioendelea?? Mbona update ya zamani sana...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Namlilia Mandela, namlilia zaidi Winnie

    Mbona una haraka mtoa mada? Kwani huyu mzee akifa unapata faraja gani? Acha kutunga hadithi muombee bado yupo hai....
  3. V

    JamiiForums Tanzania biashara yangu mpya... karibuni!

    Vile vitu vinavyotupwa barabarani ndio unavitafutia soko. He he he! Kweli we mjasiriamali
  4. V

    JamiiForums Tanzania Waliohusishwa na shambulio la Igunga wafunguliwa kesi ya Ugaidi Tabora

    Hii ni tamthilia au movie???
  5. V

    JamiiForums Tanzania Amini usiamini wastaarabu wa bongo twalishwa tusichokijua

    Nimependa hii...
  6. V

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa Muhimbili: This is unprofessional....!

    Haya mambo yapo jamani. Pengine na sisi wagonjwa hatuelewi haki zetu. Mi nilishuhudia wodi ya wazazi, intern wako na supervisor wao. Basi mtoto akikaribia kutoka wanaitwa wote ukiona wanavyochungulia anapotoka utaogopa.
  7. V

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: Kashfa nzito "michoro ya ZOMBI amesahau viatu & Mess"

    Mimi bado siamini. Najua mimi na wewe tumepita huko, na wala sio jambo la ajabu kwenye mtihani kukutana na jambo ambalo ama ulijui au umesahau ndio maana ukaitwa mtihani. Je kwenye hali hiyo ulikua unaandika matusi au bongo fleva kwenye answer sheet? Kuna shida nyingine kubwa tu na watoto wa...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Watoto wana uwezo mkubwa sana, ila sijui tatizo ni nini?

    Nakubaliana na wewe kabisaa
  9. V

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: Kashfa nzito "michoro ya ZOMBI amesahau viatu & Mess"

    Na wazazi/ walezi hatuna muda wa kufuatilia maendeleo ya watoto wetu. Hata mimi shule niliyosoma hatukuwa na walimu wa kutosha, lakini tulifanya vizuri kupitia discussion na wanafunzi waliokua wana walimu. Watoto wetu wanahitaji msaada wetu wa kimalezi pia. Kuandika bongo fleva inahusiana nini...
  10. V

    JamiiForums Tanzania Mtoto mchanga analia sana

    Mpeleke hospitali kwa wataalamu kwa uhakika zaidi. Watoto wadogo huwa hawatabiriki. Mchunguze pia kama ananyonya vizuri ili ujue jinsi ya kumuelezea daktari. Mtoto wa wiki moja kujisaidia mara kwa mara ni kawaida, lakini mpeleke kwanza hospitali
  11. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madhara ya kufanya mapenzi na mwnamke mjamzito

    Ulitaka kufahamu kama kuna madhara yoyote kibailojia kufanya mapenzi na mwanamke mjamzito ( na ujauzito kapewa na mtu mwingine). Jibu lake HAKUNA MADHARA. Hayo mengine ya mke wa mtu hayatuhusu kwani wote ni watu wazima mnajua mnachokifanya
  12. V

    JamiiForums Tanzania hivi ni kweli hawa wazungu wa udsm....ni kweli wametoka makwao kuja kusoma hiki chuo

    Huyu Somoe sijui ni Muraa wa kule Musoma? Kwenye "l" yeye anaweka " r"
  13. V

    JamiiForums Tanzania hivi ni kweli hawa wazungu wa udsm....ni kweli wametoka makwao kuja kusoma hiki chuo

    Ulikua unamaanisha Ulikua unamaanisha "intelligent" ? yaani mtu mwenye uwezo mkubwa wa ku-reason? "Shule moja huko ulaya" ndio shule gani?
  14. V

    JamiiForums Tanzania Bora asingejichubua, au mnasemaje?

    Kumbe huyu ni celebrit. Mmejaza thread kibao. Endeleeni kumfagilia!
Back
Top Bottom