Madhara ya kufanya mapenzi na mwnamke mjamzito

Madhara ya kufanya mapenzi na mwnamke mjamzito

jino kwa jino

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
794
Reaction score
192
ndugu wana JF naomba ushauri

nimetokea kumpenda dada mmoja ana ujauzito wa miezi ninne/mitano, alikuwa ameolewa ila mume wake hamtaki tena kwa kweli huyu dada ni mzuri sana na nipo tayari kumuo kama mume wake atampa talaka
Wote yeye na mimi tunahamu sana ya kufanya mapenzi ila mwenzangu anaogopa kumharibu mtoto aliye tumboni maana kaambiwa ukifanya mapenzi na mtu mwingine tofauti na mumeo aliyekupa mimba utaharibu mtoto(hatujui anaharibikaje)

je kuna uwezekano wa mtoto kuharibika kama tutafanya kwa kondom?
je kuna uhalisia kibiologia mtoto kuharibika kwa kufanya mapenzi na mwanaume asiyehusika na mimba
ni muda gani mdada mjamzito anapaswa kuacha kufanya mapenzi nje ya mume wake kama itabidi!

majibu yenu yatasaidia wengi

(ni rafiki yangu wa karibu sana kaniomba ushauri)
 
Fanya kwa mwenzako upendacho wewe ufanyiwe.

Yawezekana wewe ni chanzo cha kumfanya huyo dada afanye vimbwanga ili mumewe amuache then wewe umchukue. Achana na hiyo makitu. Kwani kila kitu ni lazima uutii tamaa zako? kwa nini usijaribu kuhusisha hizo akili nyingi hivyo ulizopewa??????

Achana na tamaa kaka, Kama ni mke wa mtu kama ulivyosema, endelea kumsihi arekebishe na mumewe. period. Wanawake wapo wengi sana dunia hii hakuna haja ya kumharibia mwenzako kwa manufaa yako. Madhara yake ni mabaya zaidi.
 
Tafuta mwanamke wa kwako acha mke wa mtu utakufa!
 
mawazo yako ni mazuri sana ila umenishambulia sana, hakuna anayependa ndoa ya mtu ivunjike ila kama nilivyoeleza hapo juu. mwenye ndoa hamtaki huyo mwanamke wote wanaishi miji tofauti sasa
 
What goes around, comes around
 
[Baba V[/MENTION]

baada ya mumuwe kumkataa ndio akaondoa wala hatupo nae mji mmoja, siku hizi TZ ni kijiji fast jet popote unaenda kwa 32500/=
 
Mara nyingine nikiona thread kama hii yako huwa nakosa jibu la haraka juu ya hii kitu, nini shida jamani ni kwamba nafsi zenu/yako imekufa ama? wewe kwako hakuna Mungu walau umuogope yeye tu. umesema vema kwamba ni mke wa mtu, kumbe basi wewe ni chanzo cha migogoro ndani ya ndoa ya hao ndg zetu. Mkuu wanawake wako wengi sana, ingawa sio wote ni wake sahihi wa kuolewa, lakini ukimrudia Mungu wako yeye mwenyewe atakujalia mke mwema nawe utakuwa na furaha na maisha mema katika familia yako atakayokujalia.

Imeandikwa mali unaweza risi toka kwa wazazi wako, lakini mke mwema atoka kwa Bwana, chonde chonde usivunje ndoa ya watu wengine, sio kwamba nakulani ila ninaimani huyo dada hata akiachika ukamuoa wewe ipo siku atakusaliti pia nawe, maana kama anaweza sasa kuthubutu sasa akiwa kwenye ndoa ya sasa, kwa nini ashindwe wakati utakapomuoa wewe.

Na pia kitu kingine ambacho wengi wetu huwa tunashindwa ama tunakosa ni uvumilivu hasa hawa wake zetu wanapokuwa wajawazito, maana lolote laweza kutokea katika kipindi hiki. Mke anaweza kumchukia mume sana, na vile vile mume anaweza kumchukia mke au mke akamuchukia yeyote ama tofauti, so inahitajika uelewa na uvumilivu. Kwenye hili wataalamu wanaweza kutusaidia sote.

Mwisho usijaribu kuvunja ndoa ya watu wengine, bali iheshimu daima.
 
mawazo yako ni mazuri sana ila umenishambulia sana, hakuna anayependa ndoa ya mtu ivunjike ila kama nilivyoeleza hapo juu. mwenye ndoa hamtaki huyo mwanamke wote wanaishi miji tofauti sasa

Unaweza kujitetea sana, lakini huwezi kuubadili ukweli, huyo ni mke wa mtu, ipo siku atakutenda nawe, una uhakika gani kuwa huyo bwana yake amemkataa, kama sio maneno ya kuambiwa tena huyo mke wake ambaye hata hivyo inaonesha una mahusiano naye ya kimapenzi, japo umekana.
 
Hakuna uhusiano wa mimba na mapenzi yako mapya mimba itaendelea kukua na mtoto atazaliwa salama kama mungu akimjariA afya njema tumboni wewe enjoy tu na mke wa mtu ila sina ushauri kuhusu kuishi na mke wa mtu kwa sababu ni sumu kali kama nyoka mweusi(black mamba).
 
Fanya kwa mwenzako upendacho wewe ufanyiwe.

Yawezekana wewe ni chanzo cha kumfanya huyo dada afanye vimbwanga ili mumewe amuache then wewe umchukue. Achana na hiyo makitu. Kwani kila kitu ni lazima uutii tamaa zako? kwa nini usijaribu kuhusisha hizo akili nyingi hivyo ulizopewa??????

Achana na tamaa kaka, Kama ni mke wa mtu kama ulivyosema, endelea kumsihi arekebishe na mumewe. period. Wanawake wapo wengi sana dunia hii hakuna haja ya kumharibia mwenzako kwa manufaa yako. Madhara yake ni mabaya zaidi.

mke wa mtu sumu
 
Unaweza kujitetea sana, lakini huwezi kuubadili ukweli, huyo ni mke wa mtu, ipo siku atakutenda nawe, una uhakika gani kuwa huyo bwana yake amemkataa, kama sio maneno ya kuambiwa tena huyo mke wake ambaye hata hivyo inaonesha una mahusiano naye ya kimapenzi, japo umekana.

kiongozi nimekupata vema sana mawazo yako yatafanyiwa kazi
 
Ulitaka kufahamu kama kuna madhara yoyote kibailojia kufanya mapenzi na mwanamke mjamzito ( na ujauzito kapewa na mtu mwingine). Jibu lake HAKUNA MADHARA. Hayo mengine ya mke wa mtu hayatuhusu kwani wote ni watu wazima mnajua mnachokifanya
 
Kwanza kabisa, kujibu swali, hakuna madhara kufanya mapenzi na mwanamke mwenye mimba.

Pila, inaelekea wote wawili mmekurupuka. Mwanamme mwenye akili timamu hawezi kuachana na mke wake wakati ana mimba.Jiulize haya:
Wamekosana nini mpaka kuhama mji kabisa?
Kuna magonjwa ambayo huyu dada anao?
Mtoto akizaliwa wewe uko tayari kuwa baba?
Je, amekukubali sababu anahitaji mwanamme wa kumtunza yeye na mtoto wake?
Unafahamiana na mume wake, na mume wako anafahamu kuwa mke wake ameshasonga mbele?

Hapa ni zaidi ya kufanya mapenzi na mwanamke mwenye mimba. Unafanya mapenzi na mke wa mtu. Unafanya mapenzi na mwanamke mwenye mimba ya mtoto asiewako. Uko tayari kumchukua na kumfanya mkeo, na huyo mtoto mwanao?
 
Back
Top Bottom