Recent content by Van Pauser

  1. Van Pauser

    Kati ya kilimo na kuuza mazao kipi kina faida?

    Nielewe vizuri... Hakuna sehemu nimesema ni rahisi kununua mazao mm nimetoa ushauri tuu huwezi kujua mhusika mwenyewe amejipanga vp....
  2. Van Pauser

    Kati ya kilimo na kuuza mazao kipi kina faida?

    Nunua mazao itakuwa nzuri zaidi kama una access ya kununua mpunga itakuwa bora zaidi weka stock huku ukisubiri bei ichangamke then koboa mpunga wako uza mchele.
  3. Van Pauser

    SI KWELI Ukila Tango na Asali unaweza kupoteza Maisha

    Mimi nilishakula Tango na Asali mbona nipo hai.... Huo ni uongo kama uongo mwingine
  4. Van Pauser

    Ligi kuu NBC JKT Vs Mashujaa FC tunachukua pointi tatu

    Jana mmevunja nazi pale njiapanda inapokatiza reli ya kati Shinyanga kwa kweli lile tukio limenihuzunisha sana.... Mlikuwa na hilo basi lenu AIFOLA
  5. Van Pauser

    Mwenye ufahamu na Shinyanga Girls

    Ipo eneo moja linaitwa BUTENGWA ukitokea mjini barabara ya kuelekea Old shinyanga
  6. Van Pauser

    Mwenye ufahamu na Shinyanga Girls

    Ni shule mpya ndo inaanza kupokea wanafunzi kwa mara ya kwanza.... Kuhusu performance ita varie kulingana na jinsi itakavyoanza kufundisha.
  7. Van Pauser

    TANESCO mnapokata umeme toeni taarifa in advance. Mafundi wenu hutumia mwanya huo kuiba mafuta ya transfoma

    Hamna fundi wa Tanesco anaiba mafuta kwa sababu wanajua adha wanayokutana nayo wakiwa site... Hao wanaofanya hivyo sio mafundi wa Tanesco bali ni watu wanaofahamu umeme wanaamua kulihujumu shirika.
  8. Van Pauser

    Msaada wa kiwanja kata ya Msongola, Ilala

    Kipo Kisemvule ni cha kwangu mwenyewe nakiuza.
  9. Van Pauser

    Ngano ni nafaka hatari sana

    Kuna mahali pia nilisikia kuwa mahindi nayo ni hatari sana kwa afya..!!! Tushike lipi tuache lipi
  10. Van Pauser

    Kuna vyakula ukivichanganya vinakuwa sumu

    Mimi mwenyewe nipo hapa nasema kuwa kula tango na asali hakuna madhara yeyeto.... Anayebisha anunue beseni la matango na asali litre 5 niwaoneshe kuwa asali na tango sio sumu.
  11. Van Pauser

    Kuna vyakula ukivichanganya vinakuwa sumu

    Hii haina ukweli...!! Kula Tango na asali unakufa...?? Mm nlishakula Tango na asali mbona bado naishi na nipo hapa nmequote comment yako.
  12. Van Pauser

    Kitendo cha Rais kusimamisha hotuba kisa Adhana ya waislam imakaaje hii kitaifa?

    Watu ninyi ndo hamfai hata kuwa mjumbe wa nyumba 10 Ww suala la Raisi kusimamisha hotuba kwa sababu ya adhana imekuuma nn..??
  13. Van Pauser

    Watangazaji wa Azam TV wamekuwa wakirudia nguo

    Mkuu umekaribia kuwa mchawi.... Yan umebakiza hatua chache sana jitahid utatoboa...
  14. Van Pauser

    Wachungaji baadhi yenu mnakera

    Sikia hii mbwa..!! Usijione kuwa upo sehem salama wakati huo unaouita uislam umeletewa na waarabu... Mpuuzi kabisa yan usidhihaki dini ya mwenzako ilihal ww hujui kama upo sehem salama au laah..!!
Back
Top Bottom