Recent content by van-de

  1. van-de

    JamiiForums Tanzania Kwa gari hii niliyonunua jinsi watu wanavyonipa heshima, sasa sijui ingekuaje ningenunua BIMA!

    Pole Sana Mkuu. Ni bora Kufa Kimwili lakini si Kiroho. Inaonekana hata Maana ya Sadaka hujui!
  2. van-de

    JamiiForums Tanzania Kwa gari hii niliyonunua jinsi watu wanavyonipa heshima, sasa sijui ingekuaje ningenunua BIMA!

    Hivi kwani watu wote wanaopenda hivyo vitu viwili ulivyovisema "Pombe na Ngono".. Huwa ni vigumu kufanikiwa??? Na kwani kufanikiwa kwa wapambanaji ni Kununua gari??.
  3. van-de

    JamiiForums Tanzania Musukuma: Magufuli alikuwa rafiki yangu lakini alishaniweka ndani mara saba kwa sababu ya kuhoji tu utendaji wake!

    Bado kuna Mambo hayapo Sawa aise, Ni huzuni sana.!
  4. van-de

    JamiiForums Tanzania Psychedelic Drugs & Consciousness

    Wakuu poleni na majukumu, naomba kuuliza kama kuna mtu anaufahamu huu mmea. Kuna Boss wangu (Indian old man) amekuwa akitumia kila asubuh kwa kuweka kwenye maji yake ya kunywa. Kama kuna ambaye yupo familiar na huu mmea ningeomba kujua yafuatayo... 1. Unaitwaje? 2. Unasaidia nini/faida zake...
  5. van-de

    JamiiForums Tanzania Unamchukuliaje mtu anayejipost post whatsApp status?

    Hebu fanya kumuomba Mungu hiyo roho mbaya na mivu ikutoke.
  6. van-de

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Hat-trick Ya Fiston Kalala Mayele Kwenye Derby Ya Kariakoo 2021/2022

    Nakuunga mkono mkuu, Huyu jamaa ni Fundi sana aise.
  7. van-de

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja tokea kifo cha Hayati Rais Magufuli

    Umeongea yote kiongozi, sina comment.
  8. van-de

    JamiiForums Tanzania US Gendermerie 1 - 1 Simba Sc| CAF Confederation Cup | Stade General Seyni Kountche

    Mnaenda kupigwa 2
  9. van-de

    JamiiForums Tanzania US Gendermerie 1 - 1 Simba Sc| CAF Confederation Cup | Stade General Seyni Kountche

    Hakuna kitu wanaenda kufanya hawa!!
  10. van-de

    JamiiForums Tanzania Najuta kumiliki Harrier 2990cc (Petrol)

    Me natafuta gari lakini hili hapana ase!!
  11. van-de

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeibiwa ofisini kwangu, naomba msaada wakupata mali zilizoibwa

    Pole sana mkuu, za wizi ni arobaini usipo wapata leo hata kesho ipo siku utawapata tu. Nenda polisi kwanza utoe taarifa.
  12. van-de

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeibiwa ofisini kwangu, naomba msaada wakupata mali zilizoibwa

    Sasa mbona unaleta maada zisizoeleweka mtu anaomba msaada wewe unaleta habari za mamachinga [emoji34]
  13. van-de

    JamiiForums Tanzania Sipo tayari kufanya ajira take home chini ya milioni moja

    Naona bado mfukoni kuna visenti kadhaa, sasa suburi vikate akili ikukae sawa kisha ukaombe hata intern za bure!
  14. van-de

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndio tabia iliyonishinda kwenye mahusiano maisha yangu yote

    Hapa ndo umeongea kitu cha msingi kidogo.
Back
Top Bottom