kwaiyo mkuu polis anaeza akawa ni corproal Bado pia akawa RPC hii imekaaje ki nidhamu endapo Kuna Mkubwa wake chini Yeye labda ana nyota tatu afu sio RPC
Wakubwa polen kwa shuhuli za Kujenga Taifa letu......kuna swali linanisumbua Kuhusu vyeo vya jesh letu la polisi kwa mfano unakuta polis labda ni RPS au OCD au tena OCID hii imekaaje kiutofaut na vyeo kama CORPLO, SARGENT, INSPECTOR.....kama sijaeleweka ntaomba kuiweka sawa kulingana na...
Suala la lissu kupigwa risasi lina mlolongo mrefu Sana Usiende kwa serikali moja kwa moja.....mbowe pia nae anahusika kwa namna moja au nyingine ila tu kajificha kwa kivuli cha serikali
Kwa mahitaji ya kufanyiwa installation kuanzia awamu ya kwanza hadi awamu ya finishing.
Bei zangu huwa ni rafiki sana kwa mkoa wa Dodoma ndiyo rahisi zaidi kukutana.
Namba zangu za kazi ni 0752768907
kitenge huyo huyo alie mdiss mond kweny msiba wa ruge baada ya kuingia na mabaunsa Saba..... Leo ndo kamuajiri wasafi ama kweli usimtukane mamba kabla ujavuka mto
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.