Vifahamu vyeo vya askari polisi wa Tanzania na alama zake

police hawana cheo cha rps wala ocd.. nijuavyo ocd ni madaraka ,cheo kinaweza kuwa asp,acp,sacp etc.
kwaiyo mkuu polis anaeza akawa ni corproal Bado pia akawa RPC hii imekaaje ki nidhamu endapo Kuna Mkubwa wake chini Yeye labda ana nyota tatu afu sio RPC
 
Vyeo vya kipolisi angalia namba
FB_IMG_1579792988464.jpg
FB_IMG_1579792991819.jpg
FB_IMG_1579792995359.jpg
FB_IMG_1579792998164.jpg
FB_IMG_1581545906276.jpg
 

Attachments

  • FB_IMG_1579792998164.jpg
    FB_IMG_1579792998164.jpg
    20.9 KB · Views: 43
conservative3 samahani mkuu unaweza kunijuza idara mbali mbali za polisi

Pia wenye diploma wanaoingia kwenye polisi na fani ya ngazi iyo itawabidi na wao hadi wakasome wapate degrer ndio wapate nyota moja? Au utaratibu upojd hapo.

Natanguliza shukrani.
 
Wakubwa polen kwa shuhuli za Kujenga Taifa letu......kuna swali linanisumbua Kuhusu vyeo vya jesh letu la polisi kwa mfano unakuta polis labda ni RPS au OCD au tena OCID hii imekaaje kiutofaut na vyeo kama CORPLO, SARGENT, INSPECTOR.....kama sijaeleweka ntaomba kuiweka sawa kulingana na kunijibu kwenu.....nawasilisha
Kuna cheo cha mfumo na cheo cha muundo.
Ocd rpc ocs ni vyeo vya mfumo na vyeo km sergeant,aip,sp,cp nk ni vyeo vya muundo.
 
namuonea huruma huyo PC yaaan ni mwendo wa kubana miguu kwa kila anaepita mbele yake
 
Karibu idara zote za uraiani ziko majeshi kuanzia uandisi elimu afya uhasibu ugavi sheria ict nk .

Japo watu wenye fani za sayansi wana nafasi kubwa majeshi kote kutokana na uhaba wao japo majeshi yanasomesha watu kutokana na mahitaji ya jeshi husika kwa wakati.
Wakati majeshi yalikuwa na uhaba wa wataalam walikuwa wakiwa wapa ofa wale waliokuwa wasomi ili kuwashawishi wajiunge na jeshi.
Kimsingi degree si kigezo pekee cha kupata nyote kwenye jeshi lolote.
Wapo wenye mastazi zaidi ya moja na bado wapo "rank and file"kwenye majeshi karibu yote
Jeshi ni zaidi ya elimu ukatoka nayo mtaani.

conservative3 samahani mkuu unaweza kunijuza idara mbali mbali za polisi

Pia wenye diploma wanaoingia kwenye polisi na fani ya ngazi iyo itawabidi na wao hadi wakasome wapate degrer ndio wapate nyota moja? Au utaratibu upojd hapo.

Natanguliza shukrani.
 
Kuna cheo cha mfumo na cheo cha muundo.
Ocd rpc ocs ni vyeo vya mfumo na vyeo km sergeant,aip,sp,cp nk ni vyeo vya muundo.
Lugha rahisi ni kwamba kuna cheo(rank ya kiutumishi katika kada husika) alafu kuna wadhifa au mdaraka (umeteuliwa kuwa flan and whatever).

Mtu anaweza kuwa Superintendent kwa cheo alafu wadhifa wake kwenye kituo akawa ndio mkuu wa kituo OCS (Just mfano tu).
 
Ufafanuzi,mbona naona siku hizi makamishina wa polisi Wana vaa cheo sawa na ijp je Kuna mabadiliko?
 
Back
Top Bottom