Recent content by valuer

  1. valuer

    JamiiForums Tanzania Bad News: Leticia Nyerere hatunae tena

    R.I.P leticia
  2. valuer

    JamiiForums Tanzania Zijue haki zako unapokua mikononi mwa polisi

    1. Askari akikuweka chini ya ulinzi muulize kitambulisho ni haki yako. 2. Askari akikukamata akuoneshe kitambulisho chenye muhuri wa mahakama kama anasema ametumwa na mahakama kukumata, ni haki yako. 3. Askari akikukamata akwambie kwanini anakukamata na anakupeleka kituo gani, ni haki yako...
  3. valuer

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Nilikua naangalia TBC, ndo kaanza kutaja tu...Tanesco wakafanya yao. Alompata kwa ufasaha atujuze tafadhali. Natanguliza shukrani.
  4. valuer

    JamiiForums Tanzania Matani

    Dadaako alikua anaenda kuuza vitumbua akasimamishwa na trafic eti kajaza sana
  5. valuer

    JamiiForums Tanzania Misemo na methali za DSM

    Hata uwe na heshima vipi huwezi kumpokea askari bunduki.
  6. valuer

    JamiiForums Tanzania Piki piki bora yenye bei nafuu

    Palser
  7. valuer

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya uchaguzi: Mambo muhimu kwa mpiga kura

    Unaruhusiwa
  8. valuer

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya uchaguzi: Mambo muhimu kwa mpiga kura

    *152*00#
  9. valuer

    JamiiForums Tanzania Ajali TAZARA: Lori lenye kontena laangukia gari dogo, mmoja apoteza maisha!

    Malori.... Ridhiwa.... Samahani napita tu.
  10. valuer

    JamiiForums Tanzania TBC shirika la uuma kweli mnatuandalia haya?

    Hongera tbc. Tukutane 25
  11. valuer

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    Kafariki kwa ajali ya gari akitokea morogoro kwenda Dar
  12. valuer

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    Pumzika kwa amani mama kombani. Kama ni kweli
  13. valuer

    JamiiForums Tanzania kweli mguu wa bandia hauna vinyweleo

    Mkuu ngoja na mimi ni+ hapo kwa walevi. huyu mlevi yeye alikutwa anakojoa sehemu isiyo ruhusiwa, askari kwamwambia atoe fine ya Tsh.5000, mlevi hukua na 5000 kamili hivyo akatoa elfu 10 akaomba chenji, yule askari huku akiondoka akamwambia 'KOJOA TENA SINA CHENJI'
  14. valuer

    JamiiForums Tanzania Basi la Kampuni ya Mbazi linalofanya Safari zake kati ya Dar - Arusha lapata ajali

    nakuunga mkono mkuu, utakuta askari kama 10 sehemu moja. kweli ni kero, ila naona bora walivyoziziba barabara za mwendo kasi
  15. valuer

    JamiiForums Tanzania Je, Jumatatu ni Siku ya Mapumziko?

    Kesho kazini
Back
Top Bottom