Naikuru
Senior Member
- Jul 29, 2015
- 189
- 274
Leo nilijaribu kutupia macho TBC Kwenye taarifa yake saa 2 ucku taarifa yao ikawa ivi.
Taarifa ya kwanza; Ilihusu campaign za ccm na magufuli
Taarifa ya pili: ilihusu campaign za ccm na samia suluhu.
Taarifa ya tau: ilihusu campaign ya ccm na dr. Shein huko pemba
Taarifa nne: ilihusu NEC kutoa mfano wa karatasi za kupigia kura na kusambazwa nchi
Taarifa ya tano: ilihusu kifo cha mch. Mtikila
Nilishaangaa mtangazaji kusema "MWISHO WA TAARIFA ZA KITAIFA MUDA SI MREFU TUTAWALETEA TAARIFA ZA KIMATAIFA".
Aisee wakuu inaumasana.
Ingekuwa wewe ndiyo unayeenda kupokea mamlaka ya nchi hii kupitia ukawa wafanyakazi wa TBC Ungewafanyaje?