Ajali TAZARA: Lori lenye kontena laangukia gari dogo, mmoja apoteza maisha!

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,696
22,729
‪Ajali imetokea maeneo ya Tazara jijini Dar es salaam Lori lenye kontena limeangukia gari dogo na Dereva amefariki.

Chanzo: EATV

--------
Marehemu anaitwa Daniel yohana alikuwa mfanyakazi wa benki ya access tawi la TEMEKE.
Só sad, bado Kijana mdogo sana
Screenshot from 2015-10-07 09:23:57.png 1443978640978.jpg
1443975173547.v01.jpg
Yo.jpg
 
Nilikuwepo eneo la tukio nimeishuhudia hiyo ajali nilijua tu dereva asingetoka R.I.P inauma sana
 
Ni ajali mbaya sana
 
Attachments

  • 1443975173547.jpg
    1443975173547.jpg
    35.9 KB · Views: 2,962
Kujenga Bandari kavu ili malori yaishie huko nje ya mji hawataki.. Basi jengeni barabara special za hayo malori yenu mpunguze foleni na ajali za kizembe kama hizi pia hawataki..

Miradi ya Bandari kavu inafanywa kisiasa tu.. Nchi ya kijinga sana hii..
 
hayo malori wangewapa barabara ya mbezi kupitia tabata maana yanasumbua sana haswa kwenye foleni morogoro road na barabara yenyewe nyembamba basi shida tupu!
 
Kujenga Bandari kavu ili malori yaishie huko nje ya mji hawataki.. Basi jengeni barabara special za hayo malori yenu mpunguze foleni na ajali za kizembe kama hizi pia hawataki..

Miradi ya Bandari kavu inafanywa kisiasa tu.. Nchi ya kijinga sana hii..

Nchi Hii C Ya Kijinga,ila Ina Wajinga Wanaohitaji Vipaumbele Vi3 Tu Basi
 
Haya malori ni hatari sana. Eneo hilo mwaka juzi mwezi wa kumi lori liligonga gari langu (Suzuki Grand Vitara) kwa nyuma likawa nyang'a nyang'a. Mungu tu aliniokoa. Madereva wengi waendesha malori vichwa maji na hawazingatii sheria za usalama barabarani.
 
Nani alaumiwe kwa ajali hizi kama siyo ccm ?
 
Attachments

  • 1443978640978.jpg
    1443978640978.jpg
    21.3 KB · Views: 2,060
  • 1443978681061.jpg
    1443978681061.jpg
    36 KB · Views: 1,931
  • 1443978712089.jpg
    1443978712089.jpg
    68.4 KB · Views: 1,996
hata ukigongewa mke utakuja hapa na picha yake useme eti ccm wamekugongea
 
Na hayo makontena cjui kwann hayafungwi.mda mwingine yaani unaona kabisa linavyotikisika mpk unakuwa na hofu kukaa karibu nayo.r.i.p dereva
 
Too painful. Simjui ila nimesikia uchungu sana. Kivuli cha kifo kinatembea nasisi...ni muda wowote kinafunika mioyo yetu. Eh Mwenyezi Mungu watie nguvu wanafamilia wake na rafikize na ndugu na jamaa. Amen.
 
Back
Top Bottom