Dear Mtende, how are things?
Mimi nawaheshimu sana wanawake, hasa wenye watoto!
Nikichukulia mfano mama yangu mzazi, hapo ndio huwa nawavulia kofia wamama wa kiafrika!
Mama yangu kaniokoa na mambo mazito sana kwa kufanya maamuzi ya haraka sana!
Mfano:
1; nikiwa na miaka minne, nilipungukiwa damu...