Wadada mnapoitwa magetoni mjiongeze

Wadada mnapoitwa magetoni mjiongeze

Wadada wa siku hizi mnakera sana, yaani mnchakulia vitu kirahisi rahisi tu!

Mtu unakaa mwenge, nakutumia elfu hamsini ili uje getto Tabata tutazamane tu? Hiyo biashara ipo kweli Dunia hii?

Getto sio sehem ya kupiga story wala kuangalia movie, ni sehem ya kutunukiana. Sio ukiona nafunga mlango unauliza "baby why unafunga mlango?" Mnakera

Halafu ukiitwa njoo peke yako, mbona siku za kutoka out huwa unakuja peke yako?

Juzi nimekaita ka Aggy si kakaja na madozi kwenye mkoba eti kanaumwa. Ikabidi niforce king kalikubali ila kwa mbinde. Nikapga cha kwanza vzuri bila shida, sasa ile napiga cha pili kakaanza kulalama eti "humalizi tu?"

Goli la pili sio mchezo ndugu zangu, sijui hakakuona juzi pale Uwanja wa Taifa Simba ilivyohangaika kupata goli la pili?

Jamani wadada mkiitwa geto jueni kuna mawili, keep that in mind na ni vizuri ukija umenyoa kabisa maana wengine hatuelewi kitu

Nawatakieni siku njema
Wanakera sana, wanadhani hizo pesa wewe umeziokota.
 
Nimecheka saaana

Eti bao la pili linapatikana kwa taabu kama bao simba kwa as vita
 
Msichana aje gheto kwako halafu asijue nn amekuja kufanya?inawezekanaje?labda awe ameshajenga mazoea ya kuja Mara kwa Mara kwako hapo inaweza tokea akaja na kurudi hivihivi,vinginevyo pagumu kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom