Recent content by Valmg

  1. V

    JamiiForums Tanzania Top 10 Best secondary schools of all time in Tanzania

    Iyo mbona ni kweli, private walikuwa wanasoma wajinga waliofeli darasa la saba lakini labda utwambie wewe ni mwaka gani tusijekuwa tunaongea na watoto wa 2000 samahani lakini
  2. V

    JamiiForums Tanzania Msaada/ ushauri: Nichague ipi kati ya Jitegemee Secondary School au Shule ya Wasichana kwa Dar?

    Kichwa cha habari usika, Naomba ushauri kwa wanaoifahamu vizuri shule ya secondary ya Jitegemee au mnaweza nishauri shule nyingine kwa watoto wa kike au mchanganyiko na ada ya kawaida kwa mimi mkulima lakini yenye maadili iliyopo Dar. Nina binti yangu wiki ijayo ndio wanafanya mtihani ya...
  3. V

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kahyoza: Magufuli alifanya makosa makubwa kuhamishia Serikali Dodoma, gharama zimekuwa mara mbili

    Dar wanakuja kufanya nini? Wanatakiwa wakae Dodoma wafanye kazi angekuwepo alieanzisha angesimamia hili
  4. V

    JamiiForums Tanzania Raisi wa nchi kuwa ndani ya nchi nyingine kwa ziara wiki nzima ni maajabu sana, only in Tanzania

    Wanamwandalia mizunguko tu bi mkubwa na wao wanabaki wanamzunguka yeye akshtuka kumekucha
  5. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kiume(mwenza)

    Mungu akupe hitaji la moyo wako, lakini naweza kuwa mimi pia
  6. V

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Katika vijana waliobaki Ccm wenye udhubutu na ubunifu na nnaowakubali ni Makonda peke ake, ana mapungufu kibinadamu kama binadamu wengine tulivyo lakini ukweli ni lazima usemwe, ni kiongozi mzuri na atakuja kutusaidia sana kama Taifa mbele ya safari tumpe maua yake tusisubili aondoke ndio tuanze...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Familia ya Ruge ni kati ya familia za kuigwa katika mirathi

    Wenye tamaa ya Mali uwa ni ule ukanda, sisi Wahaya atunaga njaa izo kugombania Mali za ndugu hata kwenye mashamba utaratibu unajulikana uwa ni kwa watoto wako na ndugu na familia ni kusimamia kugawana kwa haki watoto wa Mareham sio vingine
  8. V

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Rais watumishi wote wa DAWASCO ningewafunga miezi 6 jela kisha ningewatoa waendelee na kazi

    Jela umewasaidia kula bure na kulala bure, hao ni kutumbukiza baharini tu samaki wale wanenepe. Hii nchi watumishi wa uma ni mzigo na hasara kwa Taifa
  9. V

    JamiiForums Tanzania Mabilioni ambayo NGOs zinapata kutoka kwa wafadhili yazua mjadala

    Izo zenyewe za kwetu wavuja jasho hazijulikani zinafanya nini, me nadhani tuhoji za kwetu kwanza na tukipata majibu ayo mengine yatajiseti tu
  10. V

    JamiiForums Tanzania Je, Dkt. Mpango ndiye Rais ajaye?

    Apite bila kupingwa, mimi ni jirani yake yawezekana akatujengea barabara ya juu kutoka posta mpaka Chanika
  11. V

    JamiiForums Tanzania Biashara gani unayoweza fanya yenye uwezo wa kuingiza milion 300 kwa mwaka kwa kutumia mtaji wa bilion 1?

    Wazo sahihi kabisa, maana iyo B uitumbikize mtaani Tra wamekuangalia, manispaa wapo hapo mala fire mala wafanyakazi wanataka kutokea hapo yani kwa mwaka utakuta imebaki 500M na faida amna, mazingira ya biashara Tz sio rafiki hata kidogo
  12. V

    JamiiForums Tanzania Kwa huu mgao wa umeme na maji, ni dhahiri majamaa yanamhujumu Rais

    Na nimanyani kweli
  13. V

    JamiiForums Tanzania Napitia nyakati ngumu sana

    Usiogope ni nyakati tu utapita ila inaitaji uvumilivu, nyakati izo zinakuwaga ngumu sana na ni kwa kila mtu sio wewe tu
Back
Top Bottom