Recent content by valerian mdaki

  1. V

    JamiiForums Tanzania Kombe la Shirikisho: Yanga SC yachapwa bao 1-0 na Rayon Sports, USM Alger na Rayon Sports zafuzu robo fainali

    Pole kwao Sent using Jamii Forums mobile app
  2. V

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kocha msaidizi wa Simba Mssoud Djuma afungashiwa virago

    Zitabaki kuwa tetesi huku wengine wakiomba hivyo lakini timu ikiongeza alama chini ya Aussems na Masoud Sent using Jamii Forums mobile app
  3. V

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Toka msimu uliopita Liverpool ilikuwa na kikosi kizuri. Tatizo lilikuwa ni ufinyu wa kikosi na changamoto ya baadhi ya nafasi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. V

    JamiiForums Tanzania Mke anagawa ovyo...jamaa kaamua

    Mtu akipenda haoni, huyo jamaa nikuacha tu kama alivyo. Hujui alichompendea kimwana.
  5. V

    JamiiForums Tanzania Tume ya Pinda: Yatoa taarifa yake ya wanafunzi kufeli mtihani wa kidato cha nne

    Kama wataamua kutoa matokeo mapya, hakuna umuhimu wa mitihani. Napendekeza kwa utaratibu huu bora mitihani ifutwe. Ili tuwe na wasomi wajinga hayo ndio malengo yao.
  6. V

  7. V

    JamiiForums Tanzania Demu ana matiti makubwa utafikiri ananyonyesha majambazi

    Huyo mzuri sana, anauwezo wa kuhifadhi maziwa mengi. Ni msaada mzuri wakati wa njaa. Nikimpata namuoa fasta!
  8. V

    JamiiForums Tanzania Hello

    Jambooo?
Back
Top Bottom