Recent content by Valent florian

  1. Valent florian

    Hili jambo limeniumiza sana

    Najua umeumizwa Sana lakini yote katika yote msamehe kwakuwa ametamvua kosa lake na ameamua kuja kuomba msamaha Imeabdikwa' ndugu yako akikosa na kurudi kwako kuomba msamaha saba Mara sabini msamehe 'kajitambua Hugo achilia uuone ukuu wa Mungu. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Valent florian

    Nimeshindwa kuvumilia "Nimeacha kazi kiroho safi".

    Nakutakia mafanikio mema kwa safari mpya uliyoianza. Milango ya Baraka iambatane pamoja na wewe umejitahidi Sana Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Valent florian

    Watanzania ni watu wa ajabu sana!, Wanamwaminije Gwajima kuliko Rais wao?

    Andiko lako ni shida kajipange upya then uje humu
  4. Valent florian

    MAMBO NAYOYA EXPERIENCE BAADA YA KUMILIKI GARI

    Endelea mbele kwa mafanikio zaidi. Hongera mwanzo mzuri
  5. Valent florian

    Hii ndiyo Sheria ya Jamhuri inayompa RC nguvu ya kumuita mwananchi yeyote anayeishi mkoa wake!!

    Nahisi kuna watu ama hawajui kilicho andikwa pale au uelewa mdogo wa kutasiri kimombo. Sheria hile haijamruhusu kabisa yeye kutangaza in public ila anamamlaka uwaagizi police officer kwa taarifa ya mdomo au kwa maandishi Nani awe detained
  6. Valent florian

    CHADEMA Inakubalika sana Kilombero

    BBC ni press inayoaminika Dunia ilishatangaza kuwa Mgombea wa Chadema alishinda D legia mtema na si mteketa, sasa kwa sababu magamba wao wataalamu wa kupindua matokea kupitia vibaraka waliopandikiza kusimamia matokeo wakapindua matokeo. hatuna pa kukimbilia kwani hiyo siri
  7. Valent florian

    CHADEMA Inakubalika sana Kilombero

    Ni kweli mi ni mmoja ambaye nipo katika maeneo haya, na huu ni ukweli usio pingika Chadema imeshika kasi na hata baadhi ya chaguzi ndogo za serikali kujaza nafasi zilizo wazi basi Chadema imeibuka kidedea kwa kishindo.naweza kuainisha baadhi ya maeneo kama vile kitongoji cha Ruaha nafasi ya...
  8. Valent florian

    TAARIFA kuhusu Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA, kilichomalizika leo Jan 04, 2014

    Hata sasa Mungu anaendelea kutusaidia.Chadema itaendelea kuimarika zaidi.ukweli cdm ni stumbling block kwa serikali ya ccm
  9. Valent florian

    Haya ndiyo Makosa 11 anayotuhumiwa Zitto Kabwe na chama chake cha CHADEMA...

    Kufanya maamuzi magumu ndiyo kitu kinachokosekana serikalini na kuharibu nchi.Kwa hili naipongeza cdm wanaweza kutawala na kutomfumbia macho yeyote yule akivurunda.
Back
Top Bottom