Recent content by V.P

  1. V

    Tipper za kukodi zinahitajika

    Ni pm number yako
  2. V

    Tipper za kukodi zinahitajika

    18-20 tons. Kusomba na kusafirisha mchanga. Shukran
  3. V

    Tipper za kukodi zinahitajika

    Mwenye tippers za kukodisha in Dar naomba uni pm. Asante
  4. V

    MY ANALYSIS: CCM, Rais JK, Lowassa, Membe, Magufuli na Matokeo ya Dodoma!

    Bwana W.J.Malecela uliwahi kuja na hoja nzito sana ya kutaka yeyote atakayekuja kuwa Rais arudishe nyumba za serikali zilizoporwa, kauli yako ilionesha umekerwa sana na wizi ule wa viongozi. Nilidhani huendi dhuluma. Leo umekuja kumsifu aliyesimamia uporaji ule. Kweli nawe ni mwanasiasa.
  5. V

    Rafiki wa kike anatafutwa

    k
  6. V

    Ushauri wa Bure kwa ZZK!-Congratulations..But,,,!, Be Calm!, Keep Quite!, Don't Ridicule Them!.

    Mkuu, Kutokuwa happy hata kama na uzushi jibu lake sio kutoa kauli itakayofanya chama kizima kionekane cha wahuni tu. Zitto kutangaza kwamba Chadema hupokea hela za wana CCM imeshusha kabisa heshima ya Chadema mbele ya umma, wote sasa wanaonekana ni sawa tu. At personal level, hasira za Zitto...
  7. V

    Ushauri wa Bure kwa ZZK!-Congratulations..But,,,!, Be Calm!, Keep Quite!, Don't Ridicule Them!.

    Huwezi kumwaga siri za chama ama viongozi amabazo zinashusha integrity ya chama halafu uende popote pale watu wakakuamini. U cannot advise even your best friend atangaze siri hadharani hata kama ametukanwa kwa sababu hakuna atakayemwamini tena na siri zake. Wacheni kumshawishi Zitto vibaya kwa...
  8. V

    Ushauri wa Bure kwa ZZK!-Congratulations..But,,,!, Be Calm!, Keep Quite!, Don't Ridicule Them!.

    Mkuu, mkeo akikuzushia uongo unaamini ni ujanja na busara na wewe kuanika mambo yake hadharani? Achana na dhana kwamba ku criticise mtu maana yake ni kuwa against him.
  9. V

    Ushauri wa Bure kwa ZZK!-Congratulations..But,,,!, Be Calm!, Keep Quite!, Don't Ridicule Them!.

    Zitto still believe in the Mission of the Party, but he does not believe in The Personal Interests of the small bunch of Conmen. Ndugu Gamba la Nyoka, Yaani baada ya utoto wote huu tulioshuhudia to the extent ya kuchafua integrity of the party kwa kumwaga siri za chama hadharani for the sake...
  10. V

    Ushauri wa Bure kwa ZZK!-Congratulations..But,,,!, Be Calm!, Keep Quite!, Don't Ridicule Them!.

    Pasco wewe utakuwa mtu mzima, ushauri umetulia, ninaamini Zitto atazingatia uliyomshauri.
  11. V

    Ushauri wa Bure kwa ZZK!-Congratulations..But,,,!, Be Calm!, Keep Quite!, Don't Ridicule Them!.

    Bro Zitto, Kwanza nikupe pole kwa hizi changamoto unazokabiliana nazo ndani ya chama. Dhamira yangu ni kukupa ushauri mfupi lakini ninaamini utakusaidia kama utauzingatia, ninaamini utanielewa kwa kuwa nimewahi kuwa na mazungumzo nawe juu ya maswala mbalimbali na nilikuona kwamba ni kijana...
  12. V

    Looking for a female friend in Dar

    I am in TZ (DSM) for a short stay and looking for a female friend. What I expect: Good looking, educated, great sense of hygiene, romantic. U can expect the same in return. Good luck!!! Pls. PM me if interested.
  13. V

    Zitto hoja yako umeifanyia utafiti wa kutosha?

    Kama kweli kasema hivyo mimi sishangai, tatizo la Zitto ni kuwa mshabiki wa siasa badala ya ufanisi na suluhisho la matatizo.
  14. V

    Tanzania Mining Act of 2010 (Vain Politics)

    Hoja nzito. Let us see kama waliopitisha hiyo sheria watajibu ama wataingia mitini?
  15. V

    Chadema tumejiandaa vipi kulinda kura zetu?

    Katika uchaguzi wa 2010 waliojitokeza kupiga kura ni kama 1/3 ya wote wenye haki ya kupiga kura. Utafiti wangu usio rasmi unasema kwamba watu wengi wameichoka CCM ila waliamini hata wakipigia kura chama chenye nia ya dhati na uwezo wa kulikomboa taifa kutoka mikononi mwa mafisadi CCM will...
Back
Top Bottom