Recent content by Uzzi

  1. Uzzi

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI wasitisha ajira za Afya za walioitwa na kupangiwa Vituo vya Kazi tarehe 31/10/2017

    Inauma sanaaa. Kibaya zaidi wanasema uwongo. Kama tungelijua ajira hazipo hadi 2018. Watu tuliyomaliza vyuo 2015 tungeenda kujiendeleza kusoma. Angalia hadi sasa mtu umepoteza miaka mitatu huna unachofanya na bado wanakupa matumaini hewa.
  2. Uzzi

    JamiiForums Tanzania Interview IMTU

    %&%^%$*
  3. Uzzi

    JamiiForums Tanzania Serikali vs Malipo ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

    Mkuu hii taarifa ni ya lini.
  4. Uzzi

    JamiiForums Tanzania Mwanza mwafwa! Sharifu kumwagwa mitaani.

    Watu wengine aisee. Sasa wewe ulitaka watu waachwe wachafue mazingira kwa kadiri wanavyoweza?
  5. Uzzi

    JamiiForums Tanzania Mba kichwani (Dandruff): Fahamu Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    Brother tatizo bongo hatuna dawa. Kuna shampoo iliyosaidia watu wengi duniani inaitwa Nizoral a-d. Ni nzuri Sana ILA Tanzania haipatikani
  6. Uzzi

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya game la Tekken

    Habari zenu wakuu. Ninapenda kufahamu kama hapa bongo huwa Kuna mshindano ya kumtafuta gwiji wa kucheza game la Tekken. Yoyote Mwenye taarifa anijuze tafadhari.
  7. Uzzi

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, awataka wajitumbue

    Wataishi tuu. Kwani hawa waliokosa ajira kwa nafasi zao kukaliwa na wafoji vyeti wameishije?. Kwani na wao hawana watu wanao wategemea??
  8. Uzzi

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi laboratory technologist nipo mafinga-iringa

    Ngoja nikufungue akili. Jamaa kasema laboratory technologist maana take Ni lab practitioner level ya diploma.
  9. Uzzi

    JamiiForums Tanzania Kuna ugonjwa wa wasiwasi (hofu)?

    Ndugu fuata ushauri huu utakukusaidia 1. Fanya mazoezi ya kuongeza mapigo ya moyo mfano kukimbia au nenda gym Mara 5 kwa week ( itakuongezea furaha na kujiamini) 2. Jifunze Ku meditate au yoga na ufanye kila siku 3. Anza kupumulia tumboni na sio kifuani . na muda wwte utakao pata woga vuta...
  10. Uzzi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ruhusu ajira sasa

    U Unachosema Ni kweli , but utambue hamna kijana anaependa kukaa bila kuwa na shughuri ya kumpatia kipato. Hiyo kulima utalima vipi huna pesa ya mbegu , huna shamba huna resource yoyote. Na taasisis za kukopa wanataka wakute umeshaanza kufanya shuhuri. Kwa familia zetu za ki Tanzania life gumu...
  11. Uzzi

    JamiiForums Tanzania Ninaomba mwenye uwelewe zaidi juu ya HIV

    Good
  12. Uzzi

    JamiiForums Tanzania Ninaomba mwenye uwelewe zaidi juu ya HIV

    Determine haitumiki ckuiz
  13. Uzzi

    JamiiForums Tanzania Ninaomba mwenye uwelewe zaidi juu ya HIV

Back
Top Bottom