Rais Magufuli ruhusu ajira sasa

Rais Magufuli ruhusu ajira sasa

kujiajiri mtaji unatoa wapi kama ni fresh from school? afu ukute nyumbani wamekusomesha ili nawe uje uwasaidie.

wakati tunaambiwa tujiajiri basi mtupatiage na mitaji.
Me sijasema mjiajiri nimesema kujiajiri ni ngumu hasa kwa mtoto wa kiume.. Kwa msichana naona ni rahisi zaidi
 
Ajira 2020 kabla ya uchaguzi vjana
Baada ya hapo ajira nyingine 2025 before elections SAWA
 
Kwani uhakiki wa vyeti umeshaisha...?
 
U
Anza kufanya hata kazi za kujipatiaa ujuzi bila malipo au biashara, muda ukifika wa kuitwa utaitwa kama. Kama hautaitwa utakuwa na mengi umejijengea, unaweza kukuta kama mtu hauna kazi sasa hivi ukaanza hata kilimo, ukija kuitwa kazini utawakimbia wewe.

Mengi yapo ya kufanya kuliko kukaa miaka 2 unasubiri kazi ambayo unaweza hata usipate nafasi.

Hata mashirika ya binafsi etc yapo

Muangalie nje ya boksi, maisha ni yenu. Kuliko kukaa kusubiri kama unasubiri basi fanya kitu, kila kitu kinajenga ujuzi hata kuuza kitu kidogo.
Unachosema Ni kweli , but utambue hamna kijana anaependa kukaa bila kuwa na shughuri ya kumpatia kipato. Hiyo kulima utalima vipi huna pesa ya mbegu , huna shamba huna resource yoyote. Na taasisis za kukopa wanataka wakute umeshaanza kufanya shuhuri. Kwa familia zetu za ki Tanzania life gumu wazazi wanasomesha wadogo zako.
 
Mkuu samahani hivi ccm wanakulipa?
Mana umekuwa kipofu kabisa hata mambo ambayo yako wazi kabisa unatetea, sio sawa kabisa
Hali ilivyo sasa hata hizo nafasi za kujitolea hakuna na kama zipo unaweza kuta huwezi hata mudu gharama za usafiri
Panastahili pongezi pongeza na panapostahili kukosolewa Fanya hivyo,mapenzi yasikutie upofu kwa hili serikali imechemshaa

Wanilipe kwa sababu zipi?
 
Anza kufanya hata kazi za kujipatiaa ujuzi bila malipo au biashara, muda ukifika wa kuitwa utaitwa kama. Kama hautaitwa utakuwa na mengi umejijengea, unaweza kukuta kama mtu hauna kazi sasa hivi ukaanza hata kilimo, ukija kuitwa kazini utawakimbia wewe.

Mengi yapo ya kufanya kuliko kukaa miaka 2 unasubiri kazi ambayo unaweza hata usipate nafasi.

Hata mashirika ya binafsi etc yapo

Muangalie nje ya boksi, maisha ni yenu. Kuliko kukaa kusubiri kama unasubiri basi fanya kitu, kila kitu kinajenga ujuzi hata kuuza kitu kidogo.
Wewe ni mpuuzi
 
hata kujitolea kuna gharama mfano chakula, malazi,nauli,mavazi sema ww unadhani kila mtu ana mtegemezi, wengine wamesimama wenewe wao kama wao
 
Anza kufanya hata kazi za kujipatiaa ujuzi bila malipo au biashara, muda ukifika wa kuitwa utaitwa kama. Kama hautaitwa utakuwa na mengi umejijengea, unaweza kukuta kama mtu hauna kazi sasa hivi ukaanza hata kilimo, ukija kuitwa kazini utawakimbia wewe.

Mengi yapo ya kufanya kuliko kukaa miaka 2 unasubiri kazi ambayo unaweza hata usipate nafasi.

Hata mashirika ya binafsi etc yapo

Muangalie nje ya boksi, maisha ni yenu. Kuliko kukaa kusubiri kama unasubiri basi fanya kitu, kila kitu kinajenga ujuzi hata kuuza kitu kidogo.
Wew unasubiri au uko kazini?
 
Ana shida gani yeye ameshapata bahati ya kuwa rais..
Labda tumpumzishe.
Yy anakula anashiba. Hamjui mwenye njaa.
Mwafwaa#
na hili ndo sababu ya yote... yeye anakula vizuri, anastarehe anavyotaka, familia yake inaishi vizuri, pesa kwake sio shida... hata kama ni mimi siwez kutoa ajira... nina shida gani..!!!!
 
Back
Top Bottom