Recent content by Uujn2

  1. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapito mawili magumu kwa wanaume ndani ya ndoa

    Aisle hii madam ni motor sana, mengi tunayashuhudia kutoka kwa watu mbalimbali kwenye Jamie aidha kwa kusimuliwa au kuona kwa macho! Dunia imekuwa uwanja wa maasi, tumuombe Mungu tuzeeke na wenza wetu kwa mapenzi na huruma...
  2. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hiii tabia ya kukinai wanawake ni mimi tu au na wanaume wenzangu mnayo?

    Kwahiyo afe?
  3. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hamisa kutimkia Honeymoon Maldives (mwezi mmoja)

    🙄
  4. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananinyima unyumba, haniheshimu na anatoa siri zetu za ndani kwa nduguze

    Umeoa msungo...
  5. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona Upendo kama huu anaonipa huyu Dada

    Si ndo hapo, eti kuliko wote...🙄🙄
  6. U

    JamiiForums Tanzania Kuomba mchango wa harusi ni matusi makubwa

    Hapo mwishoni umenichekesha 😂😂😂😂
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kama mzazi, binti yako ndio amekuja kukuambia kuwa amepata mchumba, ni swali gani la kwanza utamuuliza binti yako?

    Mie mambo hayo kusema nilikuwa naona aibu sana , shemeji yenu alipokuwa tayari nikamwambia nenda, basi akatuma mshenga, mshenga akafanya na mdogo wangu wa kiume kisha baba akaambiwa, nikaulizwa TU unamjua mtu fulani nikasema ndiyo posa ikapokelewa sasa napika na kupakua ...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie Binti huyu,majeraha yake yanaumiza,yanaliza

    Hao mama zake wadogo wapumbavu! Unaruhusu vipi mtoto wa ndugu yako akalelewe na mtu baki na wewe upo? Hayo manyanyaso kutoka kwa huyo mama mlezi walikuwa hawayaoni?
  9. U

    JamiiForums Tanzania Pretty white

    Kabisa, kuna harufu mbaya hapa...
  10. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya Miaka 2, natamani Ndoa yangu ivunjike

    Umenena vyema mkuu! Labda baba ake amtengennezee mwanaume wake...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Hello! Naomba mwenye novel nzuri ya kipelelezi...!
  12. U

    JamiiForums Tanzania Raia wa kawaida kumiliki pingu ?

    😄😄 Maana watoto wa afu mbili kwa kuiga mambo..
  13. U

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia kwanini asiwasaidie watanzania kimya kimya kama ana nia njema? Picha alizopigwa huyu bibi kumshukuru Tulia zinafikirisha

    Kabisa mkuu! Nimeona huruma sana, mtu unawezaje kukubali kupigiwa magoti na mtu mwenye umri wa mama yako tena katika tukio la kutoa msaada tu?
  14. U

    JamiiForums Tanzania Why Elton John Calls the Legalization of Marijuana ‘One of the Greatest Mistakes of All Time’

    Anashauri nini? Nachefukwa tu
  15. U

    JamiiForums Tanzania Lulu Diva ni Pisi iliyosimama

    Mkuu kwahiyo uko nyingi? 😄
Back
Top Bottom