Tetesi: Hamisa kutimkia Honeymoon Maldives (mwezi mmoja)

Tetesi: Hamisa kutimkia Honeymoon Maldives (mwezi mmoja)

Kikubwa awe amempenda kweli nawaombea heri haswa na ni mshabiki wao kwenye hili...
Tatizo la wanawake huwa wepesi kumchoka mtu..na kama kweli akiishiwa ndo Sura halisi ya Aziz K Hamisa ataiona hapo sasa ndo ushujaa wa moyo wa mwanamke unaingia..ndo zile kauli za watu aisee wanawake wana huruma zinaanza so kama ana moyo mwepesi na hajampenda kweli kampendea hela hapo ndo tutaanza kuona sintofahamu ila kama ni kweli amependa hamtakaa msikie jambo tena ndo Hamisa anaweza kutulizwa mpk mkamsahau iwe pesa ipo au haipo...
 
Walipendeza sana...jamaa aliachwa juujuu,akashindwa move on...akafa kifo Cha Mende....ikawa kama laana kwa uwoya akaokota mbaba mwenye virusi...ndo ikawa ndo Ivo tena...

Ni Mimi mwandishi wenu kutoka Uyole 😋
Kwahiyo madam za ndaaani kabisa ni kwamba Uwoya ni TANESCO
 
Hivi hiyo ndoa ni ya ukweli?? Yani mtu unaona dem Ana watoto wawili wa baba tofauti?? Na kibaya azizi anajua wanaume wote waliomla mke wake maana ipo wazi! Anyway mapenzi ni upofu!
 
Back
Top Bottom