Hiyo tumekuachia wewe; Mtu hawi haramu kwa kufanya Jambo jema kwa sehemu, uwezo na nafasi yake!
Ni jambo baya na la hovyo sana kwa mwanaume kuwa shoga!
Kabisa, baadaye atapotea mtu kati Mmiliki atakuja kuongeza Bei, weka mkata na Mhusika hata wa miaka 3 same price, then ndo muanze negotiation tena, wenye Nyumba wamenirudisha nyuma sana kwenye Biashara zangu
1. Ukijua Mmiliki na ukakutana naye hiyo ni kati ya Biashara nzuri kweli, usikubali kupanga kwenye Biashara kwa mtu kati. Hiyo ndo biashara ambayo wateja is a guarantee!
Doh, ili ujibiwe ili swali Kuna taarifa nyingi sana unaitaji kutoa:
1. Location.
2. Matundu mangapi.
3. Activities za hapo.
4. Kodi
5. Inaitaji repair
6. Jengo la nani?
7. Unaingia mkataba wa mda ?
Ukweli kuhusu ubora wa Biashara unapatikana kwenye hizo taarifa hapo juu.
Swali : Umetoa hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.