Recent content by utilitarian

  1. utilitarian

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    NoRoNoE
  2. utilitarian

    JamiiForums Tanzania Kuna mwana JF amesoma ''The Urantia Book"?

    Hapa ni kula madini ya Kiranga na Utingo
  3. utilitarian

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo ni birthday ya Kiranga, tujumuike

    aaaah na Jeremy Bentham.. Kiranga mchango wako katika Jamii forum ni mkubwa sana. Kupitia maandiko yako umenifanya reasoning kwangu kuongezeka na kujiamini pia. Siwezi pita andiko maelezo yako pasipo kusoma, nikiyasoma lazima niongeze maarifa baadhi ya mambo.
  4. utilitarian

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo ni birthday ya Kiranga, tujumuike

    Heri ya kumbukizi ya kuzaliwa Kiranga
  5. utilitarian

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

    Kifo hiki duuu. Apumzike kwa Amani
  6. utilitarian

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake, Wanawake, Wanawake! Nimewaita mara 3

    Tunawasubiri wafike walau miaka 34 hivi..
  7. utilitarian

    JamiiForums Tanzania Jambazi aliyetuibia TV mwaka 1988 nimemuona leo akiwa mzee

    Jambazi mstaafu mtungie riwaya chapisha... Gusia matukio yote mhimu aliyoyafanya... Jina la kitabu... Kisadifu picha ya kwenye jalada.. Baada ya hapo fungasha nakala moja ya kitabu... Na vizawadi kidogo vya kuboost maisha... Hakika atatubu mbele ya kaumu ya watu.
  8. utilitarian

    JamiiForums Tanzania Recomend me three songs, I'll listen them

    1. Keisha White ~ The Weakness In Me 2. Erie love ~ Step Up 3. Zahara ~ Destiny
  9. utilitarian

    JamiiForums Tanzania Taarifa: Nimekwisha kula Kiapo (DEED POLI) na kwa msajili wa Viapo na Nyaraka (Mahakama ya Ardhi) kuanzia sasa nitakuwa naitwa DON NALIMISON

    Don Nalimison amelenga uchaguzi October, angeendelea na jina lake asingekuwa na kigezo cha kugombea nafasi yoyote ya kisiasa hivyo ujaja wa Don Nalimison akaona kubadili jina ili asiwekee kikwazo/vikwazo na hata akiwekewa kikwazo aweze kupinga kisheria. Hakimu : Mlalamikaji una ushahidi kuwa...
  10. utilitarian

    JamiiForums Tanzania JF Scheduled Maintenance: June 13, 2020

    Ahsante
  11. utilitarian

    JamiiForums Tanzania Waziri Selemani Jafo ashauri kuanzishwa kwa wiki ya nyungu katika kupambana na Corona

    Hadi Corona iishe, tutasikia na kuona mengi.
  12. utilitarian

    JamiiForums Tanzania GE2020 James Mbatia the next KUB Can make the Best than ever before

    Uchanguzi tayari mumegawiana hadi vyeo mmh ... !
  13. utilitarian

    JamiiForums Tanzania Nyerere na maendeleo ya Butiama

    Hapana mkuu, mimi sio mleta mada ila uchambuzi wako umegusa hadi kwenye tumizi la jina langu kwenye arafa yako ya awali.
  14. utilitarian

    JamiiForums Tanzania Nyerere na maendeleo ya Butiama

    Ahsante sana kwa uchambuzi mzuri.
  15. utilitarian

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda amtaka Tundu Lissu kurudi Tanzania haraka sana

    Tundu Lissu atakuacha vibaya ndugu achana nae tu. Angalia sasa unavyoandika sijui unaandika nini hata haueleweki hoja iko wapi, aya iko wapi nk. Nani alikwambia jina la mtu linaanza na herufi ndogo, vifupisho vinaandikwa kwa herufi ndogo ? Mkuu unatania hebu kuwa makini basi wewe ni Verified...
Back
Top Bottom