Nyerere na maendeleo ya Butiama

Nyerere na maendeleo ya Butiama

Hadi mwenyewe mwenye jina lako "Utilitarian" umeibuka.
Asante kwa kulitendea haki jina lako kwenye mjadala huu.
Hapana mkuu, mimi sio mleta mada ila uchambuzi wako umegusa hadi kwenye tumizi la jina langu kwenye arafa yako ya awali.
 
But it will remain the standing ruins when his time is over.

It doesn't matter. The way the world goes, sometimes take time to understand.
Tunahangaika sana na mambo ambayo hatuwezi kuybadili. Kwanini tusiwekeze kwenye yale ambayo yana direct impact na sisi ?
 
Hapana mkuu, mimi sio mleta mada ila uchambuzi wako umegusa hadi kwenye tumizi la jina langu kwenye arafa yako ya awali.
Naelewa naelewa , jina hilo kama mtu umefungua fungua habari za "Enlightenment Philosophy" lina falsafa zake za uchumi nzito sana za kina John Stuart Mill.

Ndiyo maana habari ikanikumbusha siku za Nyerere Edinburgh kama zilivyoripotiwa na Professor Thomas Molony wa Edinburgh.
 
Ww bwana Kiranga hadi kwenye concept utility namo umo?

Nyerere ali base kwenye Social utility
 
Kiasili kuna ugomvi kati ya watu wa Butiama (Watiama) na Busegwe (Wasegwe). Barabara ya kwenda Butiama kutokea Musoma ilipaswa kupita Makutano kuelekea Butiama kupitia Busegwe, kitu ambacho watu wa Butiama hawakutaka. Hii inaweza kuwa sababu ya barabara kutokuwepo wakati wote wa uhai wake. Hata hivyo bado iliyojengwa, ilikwepeshwa Busegwe, ikatokea Kyabakari iingie Butiama moja kwa moja. Na hii ni kwa ushauri wa Watiama.
Lakini pia si sahihi kiongozi mkubwa kama huyu, kuacha nyumbani kawo pakiwa vile. Hapa binafsi huwa namuona rais wa sasa kama yuko sahihi, maana si vizuri siku akiondoka, aiache Geita haina kitu
 
Nadhani kuna kitu ulitaka uongee kupitia Uzi huu lkn naona unazunguka zunguka tu!
Kwani Uzi huu unalenga nini?
Anataka kufahamu Chato kuna mazao gani ya kuvunwa na kuchukuliwa kwa ndege?He just used an indirect approach.(I'm just guessing)
 
Back
Top Bottom