Madalali wengi insta utasikia wanasema chuma ina eisii kama uko makambako, mguu wa kwenda, Engine haijaguswa, bodi halijachanganyikiwa, leather seats original from Japan, mafuta kisoda, gari halimjui fundi, safari popote, mmiliki wake ni mwanamke/mhindi/mwarabu wa posta anaenda kununua udi na...
Kama unaanza biashara hii kwa mara ya kwanza pamoja na mambo mengine zingatia haya;
1. Anza na gari mpya/nzuri/sio mbovu
2. Changua route fupi yenye barabara nzima na Abiria wa kutosha kurudisha pesa yako
3. Gari hakikisha halizidi miaka mitatu uwe umeliuza hata kama hujarudisha mtaji wako.
4...
Mkuu uko sahihi kabisa. Kuchagua mwenza kwa usahihi ni njia moja wapo ya kupambana na adui masikini. Pia upo uwezekano kupunguza poverty circle kwa kizazi chako. Mwanamke awe na shughuli ya kufanya.
Asante mkuu kwa kutukumbusha na kutuonya. Kuna mambo mengine yanahitaji nguvu ya Rohoni na uwe mcha Mungu hasa kwa jambo hilo. Unafanya kazi ofisini na mke wa mtu mama wa makamo yaani ana zigo la tako, mweusi ngozi ya kuteleza, mguu wa hatari, tumbo flat, anavaa anapendeza na ananukia vizuri...
Ndio wana overtime lakini zinahakikiwa kama ni za uhalisia au za uzembe. Pia ni pesa kidogo tu. Ukifanya kazi benki sahau ishu ya socialisation hata nyumbani watoto au mwenza wanakumis.
Kazi nyingine ambayo mimi sijawahi kuipenda ni ya benki. Unaingia asubuhi kutoka jioni tena ukute branch ambayo ni busy utakoma. Branch iko posta alafu unakaa Bunju.
Nchi ikiwa na misingi imara ya katiba na sheria na kuwa na mipango halisi ya maendeleo wala haiwezi kuogopa wageni. Uingereza imewahi kuwa na waziri mkuu mwenye asili ya India, marekani pia wote tunajuwa asili ya Obama. Kwa mtazamo wangu kama anatokea Mnyaruwanda mwenye uwezo wa uongozi...
Ni kweli ziko nyingi sana sasa hivi. Kwa wamiliki wa spacio/ractis old/raum/rumion ni wakati wa kukimbilia kwenye Honda fit ili maisha yawe nafuu zaidi. Kwa wazee wa Crown wanaweza kukimbilia kwenye Mazda Atenza.
Honda fit sijawahi kuendesha Ila nahisi inafika zaidi ya 20Km kwa litre kwa ninavyoiona ni gari la kisasa sana na umeme mwingi. Linafaa sana wakati huu wa utawala wa mfalme EWURA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.