Sasa Mbona kuna baadhi ya mikoa wamepata check numbers wamepewa na HRs wao.
Hata hata kwetu wameitwa watu wanne wakapewa check numbers wengine tulivyouliza tumeambiwa hazijatoka
Leo tar 13 hatujapata check number na tumekuwa na wasiwasi wa kuenda kukosa mshahara WA mwezi huu.
Maana Hospitali X ya rufaa niliyokuwepo juzi watu sita Tu ndio waliopata check numbers Kati ya watu 100.
Hr leo tumemfuata Kwa hasira Sana amesema issue ya check numbers ni Makao makuu Dodoma na...
Course mpya mpaka kupata mfumo wa muundo sio issue ya kitoto kama unavyotaka wewe
Kingine hiyo course imeanzishwa kisiasa Madaktari waliikataa wakasema wao Wana anaesthesiologist.
Wakataka kujua je nyie wa degree mkisoma mtaitwa nani ?
Hivyo wizara ya afya ikaamua kuwapa Baraza la nurse...
Ungejua historia ya kuwnzishwq hii Degree usingeongea haya.
Ndo maana mwanzoni walikuwa wanasoma inservives Tu.
Sasa sijui Tamaa ipi iliwafanya wawaruhusu PRE SERVICE wasome.
Course mpya zinq shida.
Kuna..
Clinical nutrition.
Occupation therapy.
Audiology and speech pathology.
Hizi course...
Wakuu wizara ya afya Hatujalipwa mshahara mwezi wa 10.
Hakuna dalili za mwezi huu maana mpaka leo hatujapata check numbers.
Wajuzi wa mambo huu imeekaaje
Hapana,,
Wanaofanya kazi hospital za kanda,mkoa na vyuo vya Serikali vya kati hawa ndio wanaofahamika kama watumishi waliochini ya Wizara ya afya.
Wanaofanya kazi Hospital za wilaya ,zahanati na Vituo vya afya hawa wanakuwa chini ya Tamisemi
Hawa jamaa wanajua kuchanganya kwa kweli ngoja tukienda kuchukua barua tutajua ukweli.
Maana kada kama Afisa muuguzi msaidizi ANO nafasi zilitangazwa 1000+ wametoa 400.
Mpaka sasa Hatujaona Pdf ya CO ambao kwa kiasi kikubwa hawafanyi kazi wizara ya afya wao ni TAMISEMI.
kinachotia wasiwasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.