Recent content by Utalii entertainment

  1. Utalii entertainment

    JamiiForums Tanzania Kuna njia ya kuboost photo facebook page bure?

    Nifahamishe jinsi ya kulipia maana kila nikifuata wanavyonielekeza sisfikii lengo Post sent using JamiiForums mobile app
  2. Utalii entertainment

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kabati za chuma za kuwekea nguo zinauzwa

    Nitumie namba yako tuongee zaidi kuhusu hayo makabati Sent from my itel it1701 using JamiiForums mobile app
  3. Utalii entertainment

    JamiiForums Tanzania Mbunifu wa Nembo ya Taifa anaishi maisha duni sana

    Hapa ndipo tunapoona umuhimu wa mtu kuwa na hatimiliki ya ubunifu wake,huyu mzee angekuwa na hatimiliki ya hiyo nembo angeendelea kulipwa hela maisha yake yote
  4. Utalii entertainment

    JamiiForums Tanzania BASATA kuna mtu anatumia jina lenu kutapeli watu huku akijiita mwenyekiti wa wasanii nchini

    Wizi wizi tu kwa hiyo za nje wenyewe hawana uchungu nazo eti,kunawakati unaweza ukatowa hoja ila baadae inabidi ujiulize nilichoandika kikoje kwa hiyo unataka polisi wamkamate kwa sababu anakuzuia wewe kuiba kazi za watu,kweli mawazo ya vijana
  5. Utalii entertainment

    JamiiForums Tanzania BASATA kuna mtu anatumia jina lenu kutapeli watu huku akijiita mwenyekiti wa wasanii nchini

    Swali kangu kwako kazi hizo unazoziuza unamikataba na wenye hizo kazi kama ni kweli unauza kazi siyo zako anahaki ya kukukamata acheni ujanja mnauza kazi za watu mtu kahangaika wee kuongia studi nyimbo ikitoka tu ushaichukua na kuanza kuwauzia watu utadhani yako. Tene unapatana kabisa nyimbo 5...
  6. Utalii entertainment

    JamiiForums Tanzania Karibu kwenye uzinduzi wa filamu yenye maudhui ya utalii iitwayo dunia nyingine

    Kampuni ya kizalendo iitwayo Utalii entertainment inakuwa kampuni ya kwanza hapa nchini kutengeneza filamu zenye maudhui ya utalii tu( mtaani zinafahamika kama filamu za wanyama) . Inatalajia kuizindua filamu yake ya kwanza iitwayo DUNIA NYINGINE siku ya jumapili terehe 21/5/2017 katika ukumbi...
  7. Utalii entertainment

    JamiiForums Tanzania Bidhaa mpya kwenye soko la filamu tz zenye maudhui ya utalii tu(siyo Bongo movie na wala hazifanani)

    Hiki ndicho kiwango cha kufikili cha vijana wa kitanzania,siku zote wanawaza kwenye mabaya tu,kabla hatuwasaidia watu kama hawa jamno lolote kwanza inabidi tubadilishe uwezo wao wa kufikili ikibidi hata kuwashikia akili zao mpaka pale watakapo jielewa ndo tuendelee mbele .
  8. Utalii entertainment

    JamiiForums Tanzania Bidhaa mpya kwenye soko la filamu tz zenye maudhui ya utalii tu(siyo Bongo movie na wala hazifanani)

    Itakuwa inazinduliwa kwa awamu mfano kigamboni,tegeta na kuendelea powa powa nitashukuru kwa sapoti
  9. Utalii entertainment

    JamiiForums Tanzania Bidhaa mpya kwenye soko la filamu tz zenye maudhui ya utalii tu(siyo Bongo movie na wala hazifanani)

    Bidhaa ya kwanza(filamu yenye maudhui ya utalii kwa 100%) yenye lugha ya kiswahili ( siyo ya kutafsili) inatambulishwa sokoni ikiwa imerekodiwa na mzawa kutoka katika mbuga mbalimbali zilizopo hapa nchini. Itaanza kupatikana sokoni mnamo tarehe 15/5/2017 kwenye maduka yanayouza filamu au kwa...
  10. Utalii entertainment

    JamiiForums Tanzania Wasanii kwenye uzinduzi wa hosteli walikuwa na faida gani?

    Ndugu sikiliza kuna oparesheni ya kuweka usawa wa kibiashara katika filamu haiwezekani wasinii wa ndani walipe kodi zinzotoka nnje zisilipe walikuwepo pale kwa ajili ya kukazia oparesheni hiyo,makonda kaielezea vizuri sana kuhusu hilo jambo acheni kuponda kila kitu.
  11. Utalii entertainment

    JamiiForums Tanzania TANAPA hatutafanya utalii wa ndani kwa sababu tu mnatuambia

    Sawa tunaheshimu maamuzi yako kunatatizo kwani juu ya hilo? Jibu hakuna.
  12. Utalii entertainment

    JamiiForums Tanzania TANAPA hatutafanya utalii wa ndani kwa sababu tu mnatuambia

    Kwa takwimu za tanapa kati ya watu 50 milion wanaofanya utalii wa ndani hawajawahi kuzidi 1 milion hii haimaanishi 49 milion ni masikini ni kweli hatuwezi kushawishi watu wote wakaenda ila hata tukifika lengo la robo ya watanzania kwenda namaanisha 13 milioni fedha itayokuwa imepatikana siyo ya...
  13. Utalii entertainment

    JamiiForums Tanzania TANAPA hatutafanya utalii wa ndani kwa sababu tu mnatuambia

    Ujinga ni kutokudhauriwa kwa kitu ambacho unaishi nacho maishani wanasiasa wamepata wafuasi nawe mmoja wapo kwa kuanzisha wanavyoviamini wao nawe ukavidaka bila kujuwa unatimiza lengo lao la kubaki madarakani au kukamata dola ila ukiambiwa zana hiyo hiyo ifanyike kwenye utalii eti washangaa haya...
  14. Utalii entertainment

    JamiiForums Tanzania TANAPA hatutafanya utalii wa ndani kwa sababu tu mnatuambia

    Hujuwi propaganda zinavyoendeshwa ndugu hii haitatofautiana na siasa kwani kila propaganda inayosemwa huko huwa inasemwa na watu watoto,mziki ndo usiseme kabisa sasa sijuwi kinachokushangaza nini unapoambiwa ifanyike upande wa utalii halafu uzuri wa propagand mnaokuwa mnafahamu ni nyie...
  15. Utalii entertainment

    JamiiForums Tanzania TANAPA hatutafanya utalii wa ndani kwa sababu tu mnatuambia

    Kweli na wakaipamba skendo hiyo wakaelezea ukicheche wake watu tutaanza kumfuatili akujuwa leo yuko na nani kesho yuko na nani,ni mambo madogo tu yanayoitaji ubunifu kidogo tu
Back
Top Bottom