Recent content by uswekweni

  1. U

    JamiiForums Tanzania Anayedhani mgombea mwenza CCM ni msafi basi hajajua mambo haya!

    Kuna siku uliwaza samia atakuwa Rais
  2. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanye nini niepuke kivuli cha ex husband asiyekubali kuachana?

    Nenda kwa vyombo vya dola umtie adabu. Acha kumuonea huruma na kumchukulia ni baba wa watoto wako... anakufanyia ugaid na wewe deal naye kihuni vilevile
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mimi sio nabii ila Kassim Majaliwa anarudi kijijini sanjari na kushuka daraja kwa timu ya Namungo

    Anamzidi vipi?? Labda kama rais hajaamuaaaa
  4. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Daktari Magreth aliyejiua inadaiwa ni kwasababu ya mchumba wake kukataliwa kwao

    Jarib kumuoa mwarabu au muhindi ambaye ni mwislam mwenzio halfu uje utupe mrejesho
  5. U

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Mwanga kesho tunaenda kusimamisha dunia kumwaga Mzee wetu Msuya

    Lami imefika kifula, imefika usangi wenzetu wako poa
  6. U

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa simu yenye thamani ya Tshs laki 6

    Very big advice
  7. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naona kama mke ananikwamisha

    Mke anaakili ndugu. Kaa naye chini ujue anafikiri nini
  8. U

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wa Yanga, Excellent Attorneys wamempa Demands Notice Reporters wa Crown, Nassib Mkomwa

    Badala ya kuhangaika na mambo ya msingi. Kutwa wanahangaika na kesi ambzo kila siku wanaangukia pua
  9. U

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wa Yanga, Excellent Attorneys wamempa Demands Notice Reporters wa Crown, Nassib Mkomwa

    Kama gani hapo... watachezea za uso kama CAS. Hiv unaweza mzuia mtu kuandika habari za kitaasisi.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa sina kazi ila nina milion 40 sasa ni jenge au nifungue biashara? Naombeni ushauri wenu

    Pia kuna biashara ya bajaj hii haina presha unapata hela yako kiurahisi tu. 11-12 inaingia Road unaendelea kula maisha. Ishi maisha yako. Usifake.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa sina kazi ila nina milion 40 sasa ni jenge au nifungue biashara? Naombeni ushauri wenu

    Pia watoto kama wanasoma English medium warudishe kayumba. Don't force to maintain status wakati mambo yameyumba. 40M zinaweza kuwa nyingi lkn pia ni kidgo sana kama usipoadjusst maisha yako. Tisa kumi jua wewe ni mwanaume panga mipango yako kwa kuangalia bajeti yako usifikiri sana hela ya mke...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa sina kazi ila nina milion 40 sasa ni jenge au nifungue biashara? Naombeni ushauri wenu

    Nakushauri tafuta eneo zuri anzisha duka la mangi ndugu hakika halitakutupa huku ukiangalia fursa zingnee. .. duka la mangi linaweza kukukost kati ya 5-10m tu. Kuwa shopkeeper. Usiwe na presha ya kuanza kitu kikubwa kitachokukost zaid ya 10M.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Mwijaku alivyosambaza picha za utupu za Menina nikajua hana akili

    Hebu yatoe bna.... raha ya umbeyaaa upate ukiwa wa motomoto
  14. U

    JamiiForums Tanzania Babu Sikare(Albino Fulani)Mtanzania wa kwanza kumkunja shati afisa balozi wa USA aliyetaka kumnyima Viza

    Albino fulani ana pini Lake moja cjui na linnah au nani yule demu...m
  15. U

    JamiiForums Tanzania Afisa polisi aliyanaswa na kamera akichota mafuta ashikiliwa na polisi

    Uyo hana kazi. Kama ni afisa wa chini... kama ni inspecta kwenda mbele kuna namna watamshughulikia
Back
Top Bottom