Anayedhani mgombea mwenza CCM ni msafi basi hajajua mambo haya!

Moto wa kisiasa unaoendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu ukiukwaji mkubwa wa kanuni, taratibu na desturi za chama kwenye mchakato wa kumpata mgombea wa urais haujazimika—bali sasa unawaka kwa nguvu mpya. Ndani na nje ya chama, presha imepanda. Wana CCM waaminifu na wananchi kwa ujumla wanahoji: Ni kwa nini mchakato uliojaa hila na mizengwe upitishwe kimyakimya kama kwamba taifa hili ni mali ya kundi dogo la watu?

Katika hali ya kushangaza na yenye ladha ya usaliti wa kisiasa, taarifa za ndani zinaeleza kuwa Dr. Emmanuel Nchimbi, ambaye ndiye Katibu Mkuu wa chama na mmoja wa wanufaika wakuu wa mchakato huo tata, ameunda kikosi kazi maalum

Wakati huo huo, kampeni ya kidigitali imeanza kusambaa, ikihamasisha ajenda ya “Mama ampishe Nchimbi.” Huu ni mchezo wa hatari unaoonesha jinsi watu wachache ndani ya chama wanavyotaka kulibeba taifa hili kama mzigo wa kifamilia au miradi yao ya madaraka.

TUNASEMA: HATUWEZI KUKAA KIMYA

Sisi tulioamua kusimama upande wa haki, usawa, katiba na maslahi ya chama na taifa hatuwezi kukaa kimya tukiona njama hizi zinapikwa mchana kweupe. Nchimbi na Samia hawafai wote. Kama kweli tunataka kuondoa majeraha ya hila na kutengeneza taifa lenye demokrasia ya kweli, basi hatuwezi kutoka kwenye kambi ya ukandamizaji wa mama Samia na kuingia kwenye utawala wa tamaa na usaliti wa Emmanuel Nchimbi.

Nchimbi hakuwa na tatizo na kukiukwa kwa taratibu mwaka huu kwa sababu ni mnufaika. Wote tunakumbuka mwaka 2015, Nchimbi akiwa mjumbe wa kamati kuu ya CCM alipolilia jina la Lowassa kukatwa, akidai taratibu hazikufuatwa. Sasa mwaka 2025 amekaa kimya kwa sababu safari hii yeye naye ametokea kumegewa fursa ya umakamu wa rais. Hii ni dalili ya mtu mbinafsi, mnafiki kisiasa, anayejali tumbo lake na madaraka kuliko misingi ya uongozi wa haki.

Waache kuipenyeza ajenda ya mgombea mmoja wa kupikwa. Taifa hili halihitaji rais wa kutoka kundi la hila, usaliti, na tamaa ya madaraka. Tunahitaji kiongozi mwenye dhamira safi, anayeheshimu utawala wa sheria, demokrasia na mshikamano wa kitaifa.

Acheni kuichezea Tanzania kana kwamba ni mali binafsi ya kikundi cha watu wachache wenye nguvu za kifedha, ujanja wa kiserikali na historia ya kulindana kisiasa. Hatuwezi kufunika jua kwa ungo. Njama zenu tunaziona. Na tutazipinga kwa nguvu zote—kwa jina la taifa, kizazi kijacho, na heshima ya Katiba.

HITIMISHO: SAMIA AONDOKE NA NCHIMBI WAKE –

Ni wazi sasa. Nchimbi na Samia wote hawatakiwi. Hawa ni watu wawili waliopitishwa kwa mchakato wa kihuni, wa neti chafu, , na wa kuvunjilia mbali heshima ya CCM na taifa kwa ujumla. hatimaye kushawishi mkutano mkuu kupitisha jina la mwenyekiti kuwa mgombea wa urais pasipo mchakato wa ushindani wa kweli.

Kibaya zaidi, baada ya kumpitisha mwenyekiti, waligawana vyeo kana kwamba ni tuzo za upendeleo: mwenyekiti anakuwa mgombea wa urais, na katibu mkuu – kwa njia ya kuridhiana kisirisiri – anatangazwa kuwa mgombea mwenza. Hii ni rushwa ya kisiasa ya kiwango cha juu. Hii ni fedheha kwa taifa. Hii ni hila inayotangaza wazi kuwa chama kimevamiwa, na nchi iko hatarini kuongozwa na uswahiba badala ya maadili.

Kwa mantiki hiyo: Samia aondoke. Nchimbi wake naye aondoke. Mchakato uanze upya – kwa uwazi, kwa ushindani, na kwa kuheshimu kanuni, katiba, historia, na mustakabali wa taifa letu.

Na kwa wale wanaodhani Nchimbi anaweza kuwa mbadala mzuri wa Samia – msubirini kidogo. Nitawaeleza baadaye, kwa undani, kwa nini Nchimbi hafai kuwa Rais wa Tanzania hata kwa sekunde moja. Ngoja nimalizie majukumu ya kitaifa. Nitarudi.

🇹🇿 Taifa ni letu sote. Hatutakubali lihujumiwe na kikundi cha matapeli wa kisiasa.
Kwa ccm hakuna msafi hata mmoja ila tatizo mama yenu kafeli kabisa hana mpango bora hata huyo nchimbi ni mwanaume huenda nchi ikaheshimika kidogo.
 
Ndio maana nawambia Taifa hili linahitaji complete overhaul na sio hizi blah blah, CCM inatakiwa ife na Taifa libaki kwenye mikono ya baraza maalum la usimamizi.

Mtu yeyote akishakuwa CCM au kibaraka au shabiki wa CCM jua yeye ni sehemu ya tatizo pia la nchi hii, Taifa hili Sasa linahitaji watu wenye dhamira ya dhati na sio waganga wapiga ramli.

ndani ya mitaa ya Rostov - Russia.
 
Nchi hii hapa tulipofikia sasa, mtu yeyote anaweza kubandikwa kwenye nafasi hiyo kuu, na waTanzania wasifanye lolote.
Itakuwa ni bahati ya kipekee sana kama hatimae Samia ataamua kuachia kwa sababu zake mwenyewe. Vinginevyo tutabaki naye huyu hadi hapo atakapoamua kumpisha anayetaka kumpisha mwenyewe; awe ni Ridhiwani au Mchengerwa; yote ni hiari zao wenyewe walioshikilia mpini.
Hii ndio hali halisi sehemu kubwa ndani ya bara la Afrika. Sisi hatuna tofauti yoyote na hao wengine.
Ni kuomba tu, kudra za Mwenyezi Mungu yasitufike hapa.
bcoz the jeiwii ndio watao amua
 
We bwege uongozi wa nchi haupatikani kirahisi hivyo, nyie sukuma gang subirini 2030. Samia amepigiwa kura na wajumbe wa mkutano mkuu na kupata 99.8%, taratibu zipi tena unazungumzia we kenge? Inaonekana kuna kundi mlitaka kuleta uhuru ila CCM chama kubwa mlishastukiwa sasa mtaishia kulalamika km misukule maana kujitokeza wazi hamuwezi. Mwangalieni mwenzenu polepole anajificha km nguchiro, jinga kabisa.

Another crap from retarded brain.
 
Umeandika samadi ya ngombe, hamna pointi hata moja
Pole 🤣🤣🤣 naona msumari umeingia Mahali pake kushoto kulia 😀😀 MARINDA hatarini kutoweka,vumilia kidogo acha kupiga kelele majirani watasikia 🤣🤣🤣
 
Kwanza katika katiba yetu kile kufungua Cha Makamu wa Rais ataapishwa kushika madaraka iwapo Rais atafariki au kujiuzuru kimekaa kimaslahi sana
Nacho ni Cha kutazamq kwa jicho la 4
 
CCM ikitaka kukonga nyoyo za watu wafanye mambo mawili la kwanza wafanye reforms waingie kwenye uchaguzi au abadilishe wagombea
 
ngombe, hamna pointi hata moja
Samia na Nchimbi waondoke wote!, wakati jina lake kalificha kwa kivuli cha ID fake.

Mtu mweusi anachokijua ni kumnyooshea kidole aliye mbele ya macho yake, anachokijua ni kukosoa lakini siku zote hana uwezo wa kuja na hoja zake mwenyewe za kueleweka, chawa katumwa hana jipya.
 
Moto wa kisiasa unaoendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu ukiukwaji mkubwa wa kanuni, taratibu na desturi za chama kwenye mchakato wa kumpata mgombea wa urais haujazimika—bali sasa unawaka kwa nguvu mpya. Ndani na nje ya chama, presha imepanda. Wana CCM waaminifu na wananchi kwa ujumla wanahoji: Ni kwa nini mchakato uliojaa hila na mizengwe upitishwe kimyakimya kama kwamba taifa hili ni mali ya kundi dogo la watu?

Katika hali ya kushangaza na yenye ladha ya usaliti wa kisiasa, taarifa za ndani zinaeleza kuwa Dr. Emmanuel Nchimbi, ambaye ndiye Katibu Mkuu wa chama na mmoja wa wanufaika wakuu wa mchakato huo tata, ameunda kikosi kazi maalum

Wakati huo huo, kampeni ya kidigitali imeanza kusambaa, ikihamasisha ajenda ya “Mama ampishe Nchimbi.” Huu ni mchezo wa hatari unaoonesha jinsi watu wachache ndani ya chama wanavyotaka kulibeba taifa hili kama mzigo wa kifamilia au miradi yao ya madaraka.

TUNASEMA: HATUWEZI KUKAA KIMYA

Sisi tulioamua kusimama upande wa haki, usawa, katiba na maslahi ya chama na taifa hatuwezi kukaa kimya tukiona njama hizi zinapikwa mchana kweupe. Nchimbi na Samia hawafai wote. Kama kweli tunataka kuondoa majeraha ya hila na kutengeneza taifa lenye demokrasia ya kweli, basi hatuwezi kutoka kwenye kambi ya ukandamizaji wa mama Samia na kuingia kwenye utawala wa tamaa na usaliti wa Emmanuel Nchimbi.

Nchimbi hakuwa na tatizo na kukiukwa kwa taratibu mwaka huu kwa sababu ni mnufaika. Wote tunakumbuka mwaka 2015, Nchimbi akiwa mjumbe wa kamati kuu ya CCM alipolilia jina la Lowassa kukatwa, akidai taratibu hazikufuatwa. Sasa mwaka 2025 amekaa kimya kwa sababu safari hii yeye naye ametokea kumegewa fursa ya umakamu wa rais. Hii ni dalili ya mtu mbinafsi, mnafiki kisiasa, anayejali tumbo lake na madaraka kuliko misingi ya uongozi wa haki.

Waache kuipenyeza ajenda ya mgombea mmoja wa kupikwa. Taifa hili halihitaji rais wa kutoka kundi la hila, usaliti, na tamaa ya madaraka. Tunahitaji kiongozi mwenye dhamira safi, anayeheshimu utawala wa sheria, demokrasia na mshikamano wa kitaifa.

Acheni kuichezea Tanzania kana kwamba ni mali binafsi ya kikundi cha watu wachache wenye nguvu za kifedha, ujanja wa kiserikali na historia ya kulindana kisiasa. Hatuwezi kufunika jua kwa ungo. Njama zenu tunaziona. Na tutazipinga kwa nguvu zote—kwa jina la taifa, kizazi kijacho, na heshima ya Katiba.

HITIMISHO: SAMIA AONDOKE NA NCHIMBI WAKE –

Ni wazi sasa. Nchimbi na Samia wote hawatakiwi. Hawa ni watu wawili waliopitishwa kwa mchakato wa kihuni, wa neti chafu, , na wa kuvunjilia mbali heshima ya CCM na taifa kwa ujumla. hatimaye kushawishi mkutano mkuu kupitisha jina la mwenyekiti kuwa mgombea wa urais pasipo mchakato wa ushindani wa kweli.

Kibaya zaidi, baada ya kumpitisha mwenyekiti, waligawana vyeo kana kwamba ni tuzo za upendeleo: mwenyekiti anakuwa mgombea wa urais, na katibu mkuu – kwa njia ya kuridhiana kisirisiri – anatangazwa kuwa mgombea mwenza. Hii ni rushwa ya kisiasa ya kiwango cha juu. Hii ni fedheha kwa taifa. Hii ni hila inayotangaza wazi kuwa chama kimevamiwa, na nchi iko hatarini kuongozwa na uswahiba badala ya maadili.

Kwa mantiki hiyo: Samia aondoke. Nchimbi wake naye aondoke. Mchakato uanze upya – kwa uwazi, kwa ushindani, na kwa kuheshimu kanuni, katiba, historia, na mustakabali wa taifa letu.

Na kwa wale wanaodhani Nchimbi anaweza kuwa mbadala mzuri wa Samia – msubirini kidogo. Nitawaeleza baadaye, kwa undani, kwa nini Nchimbi hafai kuwa Rais wa Tanzania hata kwa sekunde moja. Ngoja nimalizie majukumu ya kitaifa. Nitarudi.

🇹🇿 Taifa ni letu sote. Hatutakubali lihujumiwe na kikundi cha matapeli wa kisiasa.
Unabii wa majanga sifa ya mtu asiye na ubunifu wowote kichwani. Kupenda kutisha watu wenye akili timamu na pengine ni nyingi kuliko wewe na hao wanaokutuma.
 
Nchimbi, 2015 alikuwa upande wa Lowassa.
Na Rostam alikuwa upande wa Lowassa.
Sasa Nchimbi na Rostam ni kitu kimoja
 
Sasa we ngedere unajifananisha na Nchimbi? Jitokeze wewe tukujue siyo kujificha humu km msukule
Huyu Nchimbi Wanamchukulia poa hawajui hata kumpa huo Umakamu kusudi asimsumbue JK maana Nchimbi nae anaijua CCM vizuri kama JK
 
Moto wa kisiasa unaoendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu ukiukwaji mkubwa wa kanuni, taratibu na desturi za chama kwenye mchakato wa kumpata mgombea wa urais haujazimika—bali sasa unawaka kwa nguvu mpya. Ndani na nje ya chama, presha imepanda. Wana CCM waaminifu na wananchi kwa ujumla wanahoji: Ni kwa nini mchakato uliojaa hila na mizengwe upitishwe kimyakimya kama kwamba taifa hili ni mali ya kundi dogo la watu?

Katika hali ya kushangaza na yenye ladha ya usaliti wa kisiasa, taarifa za ndani zinaeleza kuwa Dr. Emmanuel Nchimbi, ambaye ndiye Katibu Mkuu wa chama na mmoja wa wanufaika wakuu wa mchakato huo tata, ameunda kikosi kazi maalum

Wakati huo huo, kampeni ya kidigitali imeanza kusambaa, ikihamasisha ajenda ya “Mama ampishe Nchimbi.” Huu ni mchezo wa hatari unaoonesha jinsi watu wachache ndani ya chama wanavyotaka kulibeba taifa hili kama mzigo wa kifamilia au miradi yao ya madaraka.

TUNASEMA: HATUWEZI KUKAA KIMYA

Sisi tulioamua kusimama upande wa haki, usawa, katiba na maslahi ya chama na taifa hatuwezi kukaa kimya tukiona njama hizi zinapikwa mchana kweupe. Nchimbi na Samia hawafai wote. Kama kweli tunataka kuondoa majeraha ya hila na kutengeneza taifa lenye demokrasia ya kweli, basi hatuwezi kutoka kwenye kambi ya ukandamizaji wa mama Samia na kuingia kwenye utawala wa tamaa na usaliti wa Emmanuel Nchimbi.

Nchimbi hakuwa na tatizo na kukiukwa kwa taratibu mwaka huu kwa sababu ni mnufaika. Wote tunakumbuka mwaka 2015, Nchimbi akiwa mjumbe wa kamati kuu ya CCM alipolilia jina la Lowassa kukatwa, akidai taratibu hazikufuatwa. Sasa mwaka 2025 amekaa kimya kwa sababu safari hii yeye naye ametokea kumegewa fursa ya umakamu wa rais. Hii ni dalili ya mtu mbinafsi, mnafiki kisiasa, anayejali tumbo lake na madaraka kuliko misingi ya uongozi wa haki.

Waache kuipenyeza ajenda ya mgombea mmoja wa kupikwa. Taifa hili halihitaji rais wa kutoka kundi la hila, usaliti, na tamaa ya madaraka. Tunahitaji kiongozi mwenye dhamira safi, anayeheshimu utawala wa sheria, demokrasia na mshikamano wa kitaifa.

Acheni kuichezea Tanzania kana kwamba ni mali binafsi ya kikundi cha watu wachache wenye nguvu za kifedha, ujanja wa kiserikali na historia ya kulindana kisiasa. Hatuwezi kufunika jua kwa ungo. Njama zenu tunaziona. Na tutazipinga kwa nguvu zote—kwa jina la taifa, kizazi kijacho, na heshima ya Katiba.

HITIMISHO: SAMIA AONDOKE NA NCHIMBI WAKE –

Ni wazi sasa. Nchimbi na Samia wote hawatakiwi. Hawa ni watu wawili waliopitishwa kwa mchakato wa kihuni, wa neti chafu, , na wa kuvunjilia mbali heshima ya CCM na taifa kwa ujumla. hatimaye kushawishi mkutano mkuu kupitisha jina la mwenyekiti kuwa mgombea wa urais pasipo mchakato wa ushindani wa kweli.

Kibaya zaidi, baada ya kumpitisha mwenyekiti, waligawana vyeo kana kwamba ni tuzo za upendeleo: mwenyekiti anakuwa mgombea wa urais, na katibu mkuu – kwa njia ya kuridhiana kisirisiri – anatangazwa kuwa mgombea mwenza. Hii ni rushwa ya kisiasa ya kiwango cha juu. Hii ni fedheha kwa taifa. Hii ni hila inayotangaza wazi kuwa chama kimevamiwa, na nchi iko hatarini kuongozwa na uswahiba badala ya maadili.

Kwa mantiki hiyo: Samia aondoke. Nchimbi wake naye aondoke. Mchakato uanze upya – kwa uwazi, kwa ushindani, na kwa kuheshimu kanuni, katiba, historia, na mustakabali wa taifa letu.

Na kwa wale wanaodhani Nchimbi anaweza kuwa mbadala mzuri wa Samia – msubirini kidogo. Nitawaeleza baadaye, kwa undani, kwa nini Nchimbi hafai kuwa Rais wa Tanzania hata kwa sekunde moja. Ngoja nimalizie majukumu ya kitaifa. Nitarudi.

🇹🇿 Taifa ni letu sote. Hatutakubali lihujumiwe na kikundi cha matapeli wa kisiasa.
Alaaniwe Magufuli popote alipo hasa motoni kwa kuharibu demokrasia ya mfumo wa vyama vingi hapa nchini. Huu upuuzi unaofanywa na ccm sasa ni matokeo ya yeye kupandikiza tabia chafu ya viongozi kutoheshimu taratibu, sheria na katiba. Tumefika hapa kuwa madaraka ya rais yanaweza kuamua nani atangazwe mshindi kwenye box la kura, na sio kura za wananchi.
 
Kiufupi CCM imeoza, ni kiongozi gani wa CCM wa ngazi yoyote anayechaguliwa bila kuhonga wajumbe?
Kuna mwana CCM mmoja "mwandamizi" nimetoka kumwamvia hili, naye amekiri wazi wazi.

CCM imekuwa muhimili wa uovu.
Mwanasiasa wa CCM ambaye ni mnyoofu ni mmoja kwenye milioni moja.

Mwanasiasa wa CCM ambaye anaweza kuwa nnje ya uovu wa CCM ni yule ambaye hajawahi kugombea nafasi yoyote ile (hata ya tawi/shina).

Ili CCM ibadilike na kuwa chama cha siasa, lazima wajivue gamba.
Ni mchakato mrefu, mkubwa na utakaoacha makovu makubwa wa wana CCM wengi, lakini ndio itakuwa pona ya chama kama chama, na taifa kwa ujumla.

Leo hii ukimchukua mtendaji mzuri na muadilifu (kama alivyokuwa Mpango) na kumpa cheo cha kisiasa chini ya CCM, uwezekano wa huyo mtendaji kubadilika na kuwa "mwanasiasa wa CCM" ni mkubwa sana.

Kuna umuhimu mkubwa sana wa katiba mpya kuweka msisitizo wa uadilifu kwa Watanzania wote.
 
Back
Top Bottom