Recent content by Uswe

  1. U

    JamiiForums Tanzania Partner/Mbia wa Biashara - Sales Agents

    Ninajua kwamba sijaandika kila kitu na siwezi kuandika kila kitu. Nimeweka high level info ili wenye interest waniambie tuongee zaidi, wengine wameniandikia pembeni na wengine wamenipigia tumeongea,. In case iko na interest nicheck pembeni au call me kwa maelezo zaidi, ukipata maelezo utaamua...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Partner/Mbia wa Biashara - Sales Agents

    Hello Josephat, niambie kitu gani exactly ungependa kujua, kama ni kitu ninachoweza kuandika hapa nitafanya hivyo kama sio kitu nitakachoweza kuandika basi itakua unfortunate.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Partner/Mbia wa Biashara - Sales Agents

    Inahusu huduma za malipo, nipigie simu/nipe contacts zako kwa maelezo zaidi niambie what exactly ungependa ni-elezee, kama ni kitu kinachofaa kuweka public nitafanya hivo mkuu.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Partner/Mbia wa Biashara - Sales Agents

    karibu tufanye kazi cylia
  5. U

    JamiiForums Tanzania Partner/Mbia wa Biashara - Sales Agents

    inahusu huduma/service
  6. U

    JamiiForums Tanzania Partner/Mbia wa Biashara - Sales Agents

    Sawa Rugaijamu
  7. U

    JamiiForums Tanzania Partner/Mbia wa Biashara - Sales Agents

    Asante mama D, nimekuandikia
  8. U

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kupata Business Partner / Technologies Investor

    tunaweza kukutana kujadili hii?
  9. U

    JamiiForums Tanzania Partner/Mbia wa Biashara - Sales Agents

    Habari ya Asubuhi. Nina kazi inayohitaji watu wengi wa kufanya mauzo, ninatafuta watu binasfi au kampuni za kushirikiana nazo, dhamira ni kufika Tanzania nzima hivyo ningependa kupata washirika wa biashara kutoka pande zote za Tanzania. Kwa high level, biashara itakua na mfumo huu. 1. Kila...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Haraka: Fast Jet Yataka Kurudisha Nauli Mwanza

    Dunia nzima ndio iko hivo. wengine huwa na option ya flexible ticket ambayo inakuwezesha kubadili tarehe ya safari bila malipo ya ziada, ila flexible tickets are normally more expensive than tickets za kawaida.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba apiga marufuku safari za nje kwa wote waliotajwa kwenye sakata la mchanga

    mambo ya nchi wanahusika vipi hapa? it seems hakuna unachofahamu kwenye haya mambo
  12. U

    JamiiForums Tanzania Samsung smart TV 40" screen inahitajika na fundi pia

    naomba namba yake inbox please.
  13. U

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba MPYAAA Inauzwa Kigamboni Eneo Limepimwa

    Bei ya maelewano ndio bei gani?
  14. U

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba MPYAAA Inauzwa Kigamboni Eneo Limepimwa

    Bei ya maelewano ndio bei gani? We andika bei ya kuuzia hapa, Acha kusumbua watu
  15. U

    JamiiForums Tanzania Msichana wa kazi anahitajika haraka

    Msichana wa kusaidia kulea watoto anahitajika haraka, mmoja ana miaka minne na wa pili ana miaka miwili. Jumatatu hadi ijumaa kuna mtu mwingine wa kufanya usafi na kazi nyingine za nyumbani, msichana ayehitajika anakua na jukumu la kutunza watoto na kupika. Msichana ataishi pamoja na sisi...
Back
Top Bottom