Msichana wa kusaidia kulea watoto anahitajika haraka, mmoja ana miaka minne na wa pili ana miaka miwili.
Jumatatu hadi ijumaa kuna mtu mwingine wa kufanya usafi na kazi nyingine za nyumbani, msichana ayehitajika anakua na jukumu la kutunza watoto na kupika.
Msichana ataishi pamoja na sisi, tunaishi Salasala, Dar Es Salaam.
Pamoja na mshahara wa mwezi (kwa kadiri tutavyokubaliana), msichana atapatiwa bima ya afya kwa matibabu.
mwenye kujua mtu anayehitaji kazi hii naomba ani-PM.
Asante.