Recent content by uswaa

  1. U

    Mambo 70 muhimu ya wananchi yaliyofutwa katika Katiba Inayopendekezwa

    1. Kupunguzwa kwa madaraka ya rais Wananchi walipendekeza madaraka makubwa ya Rais hasa ya uteuzi yapunguzwe na ziundwe taasisi za kikatiba za kumshauri rais kabla hajafanya teuzi. Wananchi walipendekeza pia baada ya rais kumteua kiongozi basi itabidi mteuliwa huyo Bunge limthibitishe...
  2. U

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    kijiji cha uswaa cdm 2476 ccm 243 kijiji cha shari cdm 1397 ccm 381 kijiji cha kyeeri cdm 953 ccm 654 roo cdm 576 ccm 540 nitaendelea weka updateee
  3. U

    Nasikia sehemu kuubwa ya nchi haina umeme sababu kubwa ni mjadala wa ESCROW

    wametukatia umeme tusione wanavyoadhibiwa
  4. U

    Tanganyika tumekusahau kabisa leo zanzibar tutakupenda daima

    TANGANYIKA UMEPOTEZWA TENA ZANZIBAR UTABAKI KWAPANI Rasimu ya Katiba inayopendekezwa inaondoa dhana ya usawa kati ya Tanganyika na Zanzibar. Zanzibar inaendelea kutambuliwa zaidi Kikatiba na inapewa mamlaka zaidi kwa mambo yake yasiyo ya Muungano, kitendo hiki ni kuikosea haki Tanganyika...
  5. U

    UKAWA waumbuka Dodoma, Akidi yapatikana bila ya wabunge walio nje ya Ukumbi

    waliomzarau warioba waumbuka zanzibar yajitenga rasmi poleni sana
  6. U

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi 27 Septemba 2014, Michango ya Wabunge - Rasimu Inayopendekezwa

    mheshimiwa komba anazidi kuonyesha hana lalote zaidi ya kuongelea watu
  7. U

    Tafakari Gharama za Maisha za Watanzania

    Mtu anaposema siasa haimsaidii kitu chochote kwasababu hawampi chakula alishawahi kukaa na kufikiria kuhusu gharama na mfumuko wa bei? Serekali yetu ya tanzania inajaribu kutumia propaganda chafu na viini macho kuwafumba wananchi kila siku wanasema maisha bora kwa kila mtanzania ila kila...
  8. U

    Uchumi wa Tanzania unaelekea shimoni

    Duuu inasikitisha na kufadhaisha leo hii KWA TREND HII YA BOT; UCHUMI WA TANZANIA ULALE MAHALI PEMA PEPONI.! Siungi mkono hoja ya Benki kuu (BOT) kufuta noti ya Sh.500/= na kuifanya sarafu. Huu ni wendawazimu mkubwa katika sekta ya uchumi "the most unpleasant economic decision" kwa sababu...
  9. U

    Tujikumbushe kidogo

    Love is the only force capable of transforming an enemy into friend. Martin Luther King, Jr. Faith , Whole , Step Faith is taking the first step even when you don't see the whole staircase. Martin Luther King, Jr. Forgiveness , Love, Hate Darkness cannot drive out darkness; only light can do...
  10. U

    Nape Nnauye auvuruga upinzani SAUT tawi la Mwanza na kuwaambia UKAWA hakuna juisi ya bure Ikulu

    cpati shida sana kwasababu ya Rais mpuuzi anayeendeshwa na watu anayekisa msimamo wake binafsi kama kawexa kuhongeka kwa kitu kidogo hawa ndo watu wa kunyonga
  11. U

    Kwa waliosoma lyamungo na umbwe high school tu.

    duu bifu la 2009 siwezi sahau kipindi ile noumah sana
  12. U

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    mbona kila akiongea mpinzani ndo inakatika? wameanza mambo ya vyama huku wapuuzi kweli
  13. U

    Maalimu Seif: Serikali mbili hazivumiliki, Zanzibar tunataka Mamlaka kamili

    zanzibar naona kama itaachiwa uhuru wao je bado wataendelea kuchota utegemeo bado tena kwa tanzania itatambulika kimataifa na kufanya yake still itakuwa na kitu bara duu sielewi elewi
  14. U

    Uchaguzi CHASO SAUT unafanyika sasa

    wameuza mgombea urais
Back
Top Bottom