Tafakari Gharama za Maisha za Watanzania

Wana JF na watanzania wote kwa ujumla heri ya mwaka mpya.

Inasikitisha sana sana pale ambapo nchi ya maziwa na asali kama Tanzania watu wake wanaendelea kutaabika na umaskini.

Watanzania tulikuwa tunasubiri kwa matumaini makubwa upatikanaji wa nishati inayotokana na gesi. Upatikanaji wa gesi ungekuwa ni mbadala wa uharibifu wa mazingira ambapo ukataji miti ovyo ungepungua.

Masikitiko yangu ni kwamba wakati tukielekea kwenye upatikanaji wa nishati hii ya gesi, bei ya gesi imepanda badala ya kushuka ili kuwawezesha wananchi kujipatia nishati hiyo.

Mtungi wa gesi kwa kg 50 ni 63000 badala ya 54000 kama hapo awali.

Je, kwa hali hii, tunaenda wapi? Wewe mwananchi, acha ushabiki usio na tija. Fikiri kabla hujaamua.

Source: Mwananchi Newz Paper
Mzee siyo mtungi wa kg 50, ni kg 30. Na kwa kipimo hicho uzito/ujazo halisi wa gas ni kg 15 tu. Bila watanzania kuamka kama Misri na Tunisia na sasa South Sudan, tumekwisha.
 
Tanzania ni zaidi ya uijuavyo,wakati wenzetu wanaupokea mwaka mpya kwa matumain makubwa,cc walala hoi tunaupokea kwa gharama za maisha kupanda mara dufu,wanao washabikia manyan'gau nyinyiemu mungu na awalaan wao na uzao wao.

Ni bora wananchi wajifahamu na si kupiga tu makelele. Haisaidii
 
Umeme juu
Gas juu
Simu juu
Kazi ipo

Kila kitu kipo juu, thamani ya shilingi inaporomoka kila kukikucha.

Mawaziri akishavuna vya kwake anaondolewa na wengine bado wanaendelea kuteketeza nchi.
 
Wana JF na watanzania wote kwa ujumla heri ya mwaka mpya.

Inasikitisha sana sana pale ambapo nchi ya maziwa na asali kama Tanzania watu wake wanaendelea kutaabika na umaskini.

Watanzania tulikuwa tunasubiri kwa matumaini makubwa upatikanaji wa nishati inayotokana na gesi. Upatikanaji wa gesi ungekuwa ni mbadala wa uharibifu wa mazingira ambapo ukataji miti ovyo ungepungua.

Masikitiko yangu ni kwamba wakati tukielekea kwenye upatikanaji wa nishati hii ya gesi, bei ya gesi imepanda badala ya kushuka ili kuwawezesha wananchi kujipatia nishati hiyo.

Mtungi wa gesi kwa kg 50 ni 63000 badala ya 54000 kama hapo awali.

Je, kwa hali hii, tunaenda wapi? Wewe mwananchi, acha ushabiki usio na tija. Fikiri kabla hujaamua.

Source: Mwananchi Newz Paper

hayo ni machache tu uriyoyaona .yapo mengi
 
Inatisha sana mkuu, hata tukianza kuvuna hiyo gesi kwa serikali hii na aina za mikataba tunayoingia; sidhani kama bei yake itapungua. Sitashangaa kama gesi tutakayoivuna Kenya wakiuza kwa watu wao bei ya chini kuliko tutakayouziwa hapa nchini!
 
Kwa uzoefu wa mikataba ambayo serikali yetu huingia na wawekezaji, hata kama tukianza kuvuna gesi, sidhani kama bei itapungua. Tusije kushangaa kuwa hata tukianza kuvuna na ku~export gesi, bado tukajikuta Kenya na jirani zetu wengine wakiuza gesi yetu kwa bei rahisi kuliko itakayouzwa nchini mwetu.
 
hayo ni machache tu uriyoyaona .yapo mengi tunako elekea ni pabaya zaidi inatakiwa tumutoe nzi kwenye maziwa kwa kijiti iri tunywe maziwa yaliyo safi hamuna haja ya kutaabika wakati uwezo tunao watanzania tubadirike
 
Haya ni majanga
 
Mabadiliko yaanze sasa na si kesho
 
Kwa uzoefu wa mikataba ambayo serikali yetu huingia na wawekezaji, hata kama tukianza kuvuna gesi, sidhani kama bei itapungua. Tusije kushangaa kuwa hata tukianza kuvuna na ku~export gesi, bado tukajikuta Kenya na jirani zetu wengine wakiuza gesi yetu kwa bei rahisi kuliko itakayouzwa nchini mwetu.

Ukiona hivi ujue kuna mzizi wa fitna.
 
Mtu anaposema siasa haimsaidii kitu chochote
kwasababu hawampi chakula alishawahi kukaa
na kufikiria kuhusu gharama na mfumuko wa
bei? Serekali yetu ya tanzania inajaribu kutumia
propaganda chafu na viini macho kuwafumba
wananchi kila siku wanasema maisha bora kwa
kila mtanzania ila kila siku wanamwongezea
mwananchi mzigo mkubwa wa kodi bila kujua
mwananchi atakabiliana nao vipi viongozi wetu
wa kisiasa imebaki ni kutetea maslahi ya vyama
vyao. mwananchi wa kawaida wanamsahau kuna
watu kibao nchini mlo mmoja kwao shida leo
tunaskia wabunge wanapokea mamilioni ya pesa
kwenda kujadili mambo ya vyama vyao na si ya
wananchi kwanini sisi wananchi tusichukue
jukumu hili kuwatoa madarakani???? huu ni
ukandamizaji na uonevu kwa wananchi tusikubali
tuamke tudai haki yetu. Wabunge wameshakuwa
mstari wa mbele kutetea uovu wa serekali badala
ya kuisimamia serekali hela zetu zinachukuliwa
mchana kweupe na kudanganywa na mambo
madogo
 
Back
Top Bottom