Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

alikuwa anatema cheche! anaongea ukweli mtupu na data !na mengi yaliyofichwa zamani!

wameweka jamaa anatema pumba badala ya kumuonesha Tundu lissu...hii hotuba ya Lissu tunaiomba jamvini kwa hali yoyote maana sio tu hotuba ni kutoboa siri zilizofichwa na serikali.
Nadhani itabidi tuhoji kwa nini ni tbc tu wanaruhusa ya kurusha live bunge wakati tunazo Tv kibao zilizo huru...Tunaanza kuuchoka ukoloni wa mtu mweusi!!!!
 
Tbc wamekata mawasiliano toka bungeni! Nondo za Tundu Lisu kali! TBC badilikeni!

Huwezii amini na hivyo ndivyo wanavyotumia kodi zetu...yaani wanatuficha ficha tuu..ila jioni utasikia katika vyombo vya habari vya kimataifa kama VOA na BBC wakirusha.!
 
Umoja wa mataifa mpaka mwaka 2009 walikua hawajapelekewa hati ya muungano ili wausajiri kama sheria inavyotaka
 
Sasa naelewa kwa nn dhaifu alisema tundu lisu asiende bungen
Na kumbe kigwangala alikuwa anajihami sana leo
 
Tbc aibu tupu,ingawa wamekata hotuba ya Lissu lakini ukweli utajulikana tu!wamezoea vya kunyonga,vya kuchinja hawaviwezi.tunaomba mwenye hotuba yote ya Lisu atuwekee hapa!
 
Back
Top Bottom