Kwa waliosoma lyamungo na umbwe high school tu.

Kwa waliosoma lyamungo na umbwe high school tu.

Mi namkumbuka Mzee Uombwe dereva wa trucker la Lyamungo.
 
Unaikumbuka ile vita kat ya o level na a levei?Urage naTemba unawakumbuka.
 
nachokumbuka bhana tulicheza mechi ilikuwa maticha wa umbwe vs lyamungo ila tukacheza baadhi ya wanafunz tulienjoy hatukuwa na bifu tena pia misa na ibada za pamoja na kombo kugombania mademu huh huh huh ni shidaaaaaa
 
Back
Top Bottom