Wakati mwingine Pascal huwa naangalia comments zako nakinganisha na umri wako naona mahala wewe haupo sawa.ebu sasa kua vyote.unakua kwa umru lakn hekima na bado sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kama kweli huyo Israel jinsi unavyosema ameikalia kudos sijui kwa nguvu. Kwann Iran kwa uwezo alonao asiende kumtoa asiendelee kukalia hyo sehem takatfu???
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nauliza tu nini maana ya utawala haramu wa kizayuni??? Maana kila mkimrefer huyu mtu lazm aitwe haramu.haramu ni nani na harali ni nani
Sent using Jamii Forums mobile app
We nae ushagakua mlamba makari..ya ccm...succession plan ya chama chochote kile inaitaji uwanja sawa wa kisiasa.sasa kunavokua hamna unategemea watapataje hao wapinzani succession plan? Play fare uone
Ebu nyie acheni kutufanya sisi mandondocha, Nida vitambulisho ilivyogawa hata theruthi ya nchi nzima bado. So hao watu wanaopoteza vitambulisho ndo wameweza kuchanga hillo gawio kubwa kiasi hicho? Penye kukosoa koseni na penye kusifu msifu lkn katika uhalisoa. Mafala nyie
Duuu 3M kwa siku,kweli hapa ndo naamini kuna usanii na wasanii. Yaani hyo 3M hata Magufuli mwenyewe raia no.1 tz hatumii hyo Pesa per day.yaani hata mo dewj
Nauliza kwa WCB fans, kwann wanasema Harmonise au sijui konde boy akitoka WCB watafuta nyimbo zake na hawatamsapoti na kumtukana matusi kibao, kwamba wanaashabikia mziki mzuri na msanii mzuri au wanashabikiaa timu nzima ya WCB hata kama wanatoa nyimbo mbaya
Mm siku nimejua mmiliki Wa wasafi TV ni mke Wa kusaga hapo ndo nilipo choka wallahi. Na ndo mmiliki Wa primetime promotions.unategemea kuna ugonvi halisi hapo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.